Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.

Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Hamna kitu kwa huyo Papeti, anetumwa na Waliokuwa wanaufirisi utajili wetu ili warudi tena.
Na kwenye makubaliano yao Wamekubaliana kuifanya eti nchi isitawalike. Tz ni zaidi ya waliomtuma kama haelewi .
 
mhimu tuheshimiane kwanza hayo mengine badae unakuwa mwoga mwoga sana
Mkuu waoga ndio wenye hekima ya kufahamu yajayo, bali majasiri walio wengi ni wenye viburi na wapumbavu.
Kinachomfanya jasiri kuwa na utu ni moyo wenye kiasi /hofu ya Mungu.
 
Huyu ndio anafaa kulingana na nyakati tulizonazo leo hii.
Hata Walibya walitumia lugha hizi hizi za kijinga wakiamini kwamba Gaddafi akiondoka madarakani basi Taifa lao litakuwa na hali bora zaidi, je, hivi sasa Libya hipo kwenye hali gani? Watanzania hatuwezi kufanya ujinga huo wa kuchagua mtu ambaye ana traits za ku-incite violence - Tanzania haimfahi arudi zake Ubeljiji akale Hungarian soseji.
 
Teh teh teh!

Jaribu tena maana ile iliingiliana na maombolezo ya hayati mzee Mkapa,kwaiyo ukisema risasi 38 mnamdanganya ajione kama PREDATOR sio?

Nikurushie risasi 38 kama utapona wewe?
Ulikimbia shule mataga?

Nimekwambia: Lissu hazuiliki, kawekewa vikwazo vingi lakini vyote kavishinda, kashashinda kesi zaidi ya 50 mpaka sasa, hata risasi 38 zilishindwa kuondoa uhai wake sababu MUNGU yuko upande wa TL ktk vita vyake na watesi wake.

Sasa hujaelewa nini hapo kama sio kuendekeza umataga.

Kama hujaelewa legeza fuvu uelewe.
 
MaCCM bado yanaweweseka na Lissu tu [emoji13]. Ila itakuwa bado hamuamini kama yuko hai. Mnahisi mnaota kwa yanayotokea. Ndio hivyo bwana, kama mlivyoona, kukubalika kwake kwa Watanzania ni balaa. Kila kona sasa ni Lissu Lissu. Hapo ndio muone jinsi gani Jiwe kachokwa.
 
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.

Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Unayo haki ya kuwa na mtazamo wako, lakini usiitumie haki yako vibaya kwa kubadilisha/kutafsiri maneno ya mwingine kwa lengo la upotoshaji.
 
Tundu Lissu ni miongoni mwa nembo za taifa na tunu zinazopaswa kulindwa alichozungumza leo sitashangaa hata CCM wenyewe kumpigia kura 28 October 20 nimepata nguvu ya kwenda kupiga kura.

#NI YEYE

Ni yeyeeeeee
 
Hamna kitu kwa huyo Papeti, anetumwa na Waliokuwa wanaufirisi utajili wetu ili warudi tena.
Na kwenye makubaliano yao Wamekubaliana kuifanya eti nchi isitawalike. Tz ni zaidi ya waliomtuma kama haelewi .
Nakubaliana wewe...hawatafaulu kwa hili,,hatashinda urais..wanachotaka ni vurugu..
 
Hao wazungu waliokuwa wanamgharamia huko Ulaya ndio wamemtuma aje kuvuruga amani ya nchi yetu.

Jamaa anataka kuumiza watanzania wengine Kama yeye alivyoumia.
 
Huyu hapati kitu
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.

Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
 
Ndio type ya mgombea anayetakiwa kwenda jino kwa jino na ccm sio kama wakina fisadi lowassa.

Magufuli ashinde uchaguzi ulio huru na haki otherwise akitumia ujanja ujanja mwaka huu ndio kwaheri yake. hakuna jeshi litakalo mlinda ajipange kweli.
Mnajuaga kubonga nyuma ya keyboards
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAA
ALISHINDWA KYWAMBIA WAINGIE BARABARAN NA ZILE RS....LEO HII MNADANGANYWA WEHU TENA GRADUATRS AISEE POOR U
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.

Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.

My Take: Ni mapema sana kwa Mgombea wa Urais kutoa kauli kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.

Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
 
Ameeleweka sana. "Atawaingiza wananchi barabarani" yeye hataingia.

Namhakikishia kabla "hajawaingiza" atakuwa "kashaingizwa yeye"
 
Karibu barabarani. Tena this time, watafanya makusudi ili ionekane umeibiwa ili uingie na wewe barabarani. Wanakutamani kinoma, usijishaue ukidhani wanakuogopa sabb ya mdomo wako. Njoooo tu baba, uchukue kura zako barabarani.
Wee ndata usijiamini kuwa hilo gobore ndilo solution nakuhakikisha wewe na familia yako hamtakuwa salama! Trust me! jitafakari tena!
 
Back
Top Bottom