Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Hongera kwa maendeleo mazuri ya matibabu, naunga mkono wazo la wewe kuwa mgombea urais endapo utapitishwa na Ukawa, lakini sikubaliani na wazo la wewe kurudi Tanzania kwa sasa kutokana na unavyowatia hofu watawala wanaweza kutungua ndege uliyopanda hata kama ina abiria 300 bora wafe wote ili mradi wakuue wewe!
Utagombea ukiwa huko huko nje utarudi kuapishwa tuu.
Utakappfanya mikutano hiyo uliyoalikwa sisitiza watusaidie kuisimamia tume ya magufuli sorry tume ya uchaguzi bila hivyo hakuna uchaguzi huru na haki.
 
Hii habari kama jiwe kaipata basi mlango wa Choo uko wazi muda wote
 
Namshaaga sana lisu anamuogopa mbowe kuliko raisi wa jamhuri, bila shaka mbowe ni mtu hatari sana. Sasa kama anamuogopa na kumyenyekea mbowe kiasi hiko, ataweza uraisi kweli, jibu ni no, aanzie kwanza umwenyekiti chadema then akitoboa ndo tuone
Pumba
 
Jione huruma kwanini matakwa ya kumuua hayakufanikiwa .
 
wewe ndiye mwewesekaji mkuu

Nyie mafisi ndiyo mnaweweseka, Tundu Lissu mwana Chadema kasema kama chama chake kikimtaka agombee yeye yuko tayari, sasa kutwa nzima ndiyo manahangaika kupinga ilhali na nyie mtakuwa na mgombea wenu sasa kama hamumhofii kelele za nini ilhali mwamuzi ni sanduku la kura ? Hebu wacheni utoto.
 
Kwa Tume Huru ya Uchaguzi ushindi kwa Lissu hapo ni saa 2 asubuhi tu. Tutaomba na mdahalo wa KIINGEREZA ( na kiswahili) wa wagombea na moja ya maswali yangu kwa kila mshiriki kati ya hao wawili ni:

1. What is leadership? Based on the meaning of leadership, do you think you deserve to be a leader?
2. What is the meaning of development as per Abrahamu Lincolin? To what extent Tanzania adheres to the belief of this scholar?
3. What is the advantage of a country which observes Diplomacy links? How Tanzania is diplomatically linked? Who is the key individual to observe such a diplomacy in a given country? Does Tanzania have such an individual?
4. Is there any need for a country to have her own Constitution? Explain. Where do we get ideas for constitutional review? To what extent Tanzania has observed and honoured the process of making the Constitution?
5. Why do you think you are the right candidate for the position you are applying for?
 
Kama kweli, msilalamike Kura zimeibiwa, maana kwa vyovyote hazitatosha, safari hii acheni maigiza.
 
Kuna mtu namuona anaweka mpira kwapani fastaa!
 
Na wewe hata hujiongozi kiakili. Membe yupo chama gani na lissu yupo chama gani?

Kwani waliposema wende na Membe walisema akiwa yupo chadema?

Hivi hamna kuwania nafasi ya Urais hapo ccm baada ya miaka mitano?
Hawa jamaa bhana,2020 Mara twende na Membe mwanadiplomasia aliebobea,Jasusi aliebobea,sasa hivi tayar yameshabadir gia
 
Habari ya leo ya Lissu lazima itawanyima usingizi wana CCM. Tulieni tu sindano iwaingie vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…