Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

moja kwa moja ktk mada baada ya taarifa kusambaa zikimhusu mhe lissu kugombea uraisi Jana leo mhe rais kaondoa kikokotoo wakati awali wadau mbalimbali walipiga kelele weee lakini alikaa kimyaaaaa kama hasikii

Safi sana lissu naomba uje na mkakati mwingine yaani ukiingia madarakani upandishe mishahara kwa zaidi ya 80% pia madaraja yapande, uhamisho uruhusiwe, ajira sekta zote nk

Yaani kura utapata zaidi ya 70% achilia mbali watakazojaribu kuiba

Watuwanataka kula kwani kuna MTU anakula ndege za bombadia?

Kwani wakat nchi inaharibiwa si ndo hao hao viongozwaliopo walikuwa wabunge, mawazir nk wote wakiwa wa ccm?

Enough is enough safar njema mtetez wa wanyonge TUNDU A. LISSU
 
Safari hii atatwangwa bomu sio risasi
Huyu jamaa bora ukutane na paper la physics unaweza kutoboa sio Lisu Mzee wa msoga anamjua vizuri sema yule mjanja sana hawa wamejichanganya vibaya wako ndani ya 18 sikilizia mziki wake.katoa ratiba ya safari watu wanapangua hesabu akipitishwa kugombea kodi free
 
Huu mkakati wa kikokotoo nategemea kuna watu barua zao kufika jumatatu zitakuwa mezani kwa mkuu wakijiuzuru haiwezekan wakawapatisha tabu wazazi wetu namna ile
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna LA kushangilia

FAO LA kujitoa ni muhimu kurudishwa

Kanuni za FAO LA kukosa ajira ni mbaya mno, wafanyakazi wa private sector wanakuwa watumwa, ukiresign umepoteza haki zote..
 
Huyu jamaa bora ukutane na paper la physics unaweza kutoboa sio Lisu Mzee wa msoga anamjua vizuri sema yule mjanja sana hawa wamejichanganya vibaya wako ndani ya 18 sikilizia mziki wake.katoa ratiba ya safari watu wanapangua hesabu akipitishwa kugombea kodi free
Anamjua vzr kwani Lisu ni Mke wa Magufuli?

BAVICHAA NINYI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika tokea habari za kuwania kiti huyu Tundu Lissu,vitanda havilaliki pale Ikulu!

Na Leo hii tumeona amefuta kikotoo kipya cha mifuko ya jamii, ambapo kiuhalisia ni "yeye" aliyeamuru kitumike!

Hakika huyu Rais tuliye naye ni bingwa wa maigizo
Kila boxer hivi sasa inambana kila akimkumbuka TL.
 
hivi mnafikiri uraisi ni kama kuongoza familia ya mke na watoto siyo? yooote hayo umeyaandika utafikiri atakuwa na kiwanda cha kutengeneza hela mnajisumbua kweli wenye ushabiki mamruki
 
hivi mnafikiri uraisi ni kama kuongoza familia ya mke na watoto siyo? yooote hayo umeyaandika utafikiri atakuwa na kiwanda cha kutengeneza hela mnajisumbua kweli wenye ushabiki mamruki
Kwa akilizako ulifikiri ccm itatawala milele jiandae kisakoloji tafuta pakukimbilia bado mapema 2020 mwisho wenu.
 
Mkulu, kinyesi kinamgongea hodi kinarudi. Tuna rais wa ajabuajabu haijawahi kutokea.
 
Back
Top Bottom