Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Utakuwa umefaidika na nini ?!Safari hii atatwangwa bomu sio risasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa umefaidika na nini ?!Safari hii atatwangwa bomu sio risasi
Majibu yako yanasadifu uwezo wako wa kuchambua hoja. Ukweli ni kuwa pro Maghufuli na CCM kwa ujumla. Uwezo wenu mdogo sana.
AiseeeeeHuyo wa pili hatakaa ahudhurie,labda aletwe akiwa kwenye jeneza!
Ili muovu aendelee kupata hisani kafara inamhusu.
Weweni zezetaJimbo lake Singida huko kashindwa kuongoza,familia yake kashindwa mwache aropoke tu.
watoto wale wanaitaji kusoma wakili mkuu rais wa nini sijui,sio kuja kusalimu hospitali. Mke pia anahitaji huduma.
Bado ww unafkiria kuwa na mikiki ya siasa!
Waonee huruma waliokuzunguka
Na nyie mtateseka sana,mngejua pigo linalowasubiri kabla ya hiyo 2020 msingejishebedua hivyo.Hakuna llote mnahangaika bure na hao mabeberu wenu , 2020 mtapata tabu sana
Wacha lije lingine wataponda badae litawekwa sawa mwisho wa siku point 3 zinarudi magogoni tenaMmmhh!
Wacha lije lingine wataponda badae litawekwa sawa mwisho wa siku point 3 zinarudi magogoni tena
Afe kipa afe beki point 3 lazimaPoint 3 za mezani sio deal.
Afe kipa afe beki point 3 lazima
Narudia tena point 3 muhimu afe kipa afe bekiNarudi tena, point 3 za mezani sio deal.
Narudia tena point 3 muhimu afe kipa afe beki
Vyovyote zitakavyokua ila ndo ataendelea kua raisSirudii tena Magu atatangazwa mshindi kwa kura za kubumba.