Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

mungu gani punguwani anayebariki USHOGA???

PUMBAVU THAAAAANA!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ili muovu aendelee kupata hisani kafara inamhusu.
Kafara za tz ni watu wanaolishwa manyama ukeni kama wewe ili akili ipinde uwe tahira na kukubali mwili wako uwe automatic louderspeaker kueneza sifa za waovu ili kuwasafisha.
Huna tofauti na mbuzi wa kafara maana akili yako imetolewa kafara umebaki hujielewi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu ni jeshi la mtu moja kwa karata hii ccm lazima indoke na maji,Hawa jamaa walikua na mipango ya 2025 juzi katangaza nia kawarudisha km kama zote ngoja apitishwe na chama chake, Mungu umejibu maombiiiiiiii maccm yalitaka kutuangamiza bila sababu.
 
Lissu alikuwa akidai pesa zake ambazo kimsingi ni haki yake na pesa zilizotokana na kodi ya watanzania lakini ratiba yake baada ya kupona haionyeshi kuwa alikuwa anazihitaji hizo pesa au anaheshimu kodi ya watanzania.
Pia amezungumzia swala la kugombea urais ikiwa atapewa ridhaa ya chama chake na chama washirika lakini anasahau kuwa wakati wa kumteua Lowassa kuwa mgombea wa Chaedema waliotoa ridhaa hawakuwa wanachama wa chadema bali ni kikundi cha watu wachache ndani ya chadema ambao hawakujali kuwa Chadema kama chama kinatakiwa kifate demokrasia ya kupata mgombea wa kupeperusha bendera yao
 
Back
Top Bottom