chikanu chikali
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 1,146
- 1,832
Huyu jamaa bora ukutane na paper la physics unaweza kutoboa sio Lisu Mzee wa msoga anamjua vizuri sema yule mjanja sana hawa wamejichanganya vibaya wako ndani ya 18 sikilizia mziki wake.katoa ratiba ya safari watu wanapangua hesabu akipitishwa kugombea kodi freeSafari hii atatwangwa bomu sio risasi
Vyote ni kweli pamoja na umaarufu wa bei chee.Mara analeta tatizo na kulitatua mwenyewe mara kamuogopa Lisu..............ongezeni nyingine
Kwa huo umaarufu 2020 mwendo ni ule ule
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asingefanya hivyo hao wa kuponda wasingepata sababu ya kumponda acha acheze na akili zao tu
mungu gani punguwani anayebariki USHOGA???Mungu mkubwa, anaweza kung'olewa yeye roho kwanza kabla ya aliyeshika bomu hajafika eneo la tukio
Anamjua vzr kwani Lisu ni Mke wa Magufuli?Huyu jamaa bora ukutane na paper la physics unaweza kutoboa sio Lisu Mzee wa msoga anamjua vizuri sema yule mjanja sana hawa wamejichanganya vibaya wako ndani ya 18 sikilizia mziki wake.katoa ratiba ya safari watu wanapangua hesabu akipitishwa kugombea kodi free
Kila boxer hivi sasa inambana kila akimkumbuka TL.Hakika tokea habari za kuwania kiti huyu Tundu Lissu,vitanda havilaliki pale Ikulu!
Na Leo hii tumeona amefuta kikotoo kipya cha mifuko ya jamii, ambapo kiuhalisia ni "yeye" aliyeamuru kitumike!
Hakika huyu Rais tuliye naye ni bingwa wa maigizo
Kwa akilizako ulifikiri ccm itatawala milele jiandae kisakoloji tafuta pakukimbilia bado mapema 2020 mwisho wenu.hivi mnafikiri uraisi ni kama kuongoza familia ya mke na watoto siyo? yooote hayo umeyaandika utafikiri atakuwa na kiwanda cha kutengeneza hela mnajisumbua kweli wenye ushabiki mamruki