Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Kishindo chake tumekiona , siku mbili tangu atoe msimamo huo kikokotoo kimechomwa moto !
 
Nimekuelewa Mh.Lissu.
kuwa tayari kugombea urais ni tofauti na kuwa tayari kuwa Rais.
hata Hashim Rungwe yuko tayari kugombea kama wewe.
Bado naangaza aliyetayari kuwa Rais
 
Ninaelewa kuwa kabla ya kutangaza nia ya kugombea urais Lisu alishakutana na mh Mbowe na Nyalandu huko ubelgiji.

Ninakumbuka pia mwaka 2015 Mbowe akiwa peke yake angani alibadili gia na kumleta mzee Lowassa wa CCM pale Ufipa ili agombee urais.

Ndiposa najiuliza huyu Tundu Antipas Lisu ameshabarikiwa na Mbowe kugombea au amekurupuka tu?
Jumamosi njema!
 
Mn Lissu anatumia kigezo cha kuonewa huruma na yaliyo mpata ambayo hakuna mgombea mwengine yeyote mwenye hicho kigezo. Na mara ya kwanza katika historia ya Taifa hili inawezekana tukawa na mgombea atayeomba apewe kura za kuhurumiwa.
 
Peleka umbea huko.

amesema akipewa ridhaa atagombea.
 
Mn Lissu anatumia kigezo cha kuonewa huruma na yaliyo mpata ambayo hakuna mgombea mwengine yeyote mwenye hicho kigezo. Na mara ya kwanza katika historia ya Taifa hili inawezekana tukawa na mgombea atayeomba apewe kura za kuhurumiwa.
Na Yule aliyepiga push up Hadi akajamba ?
 
GT....kazi ipo.
Tueleze kwa nini Jane baso waziri mpaka dakika hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…