Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Chadema bwana
Juzi tu wanapiga kelele twende na Membe leo washamsahau wameanza na Lisu tena. Aliyewaita nyumbu aliwaza mbali sana
Lazima ukaze kama shipa eti eeh! Huyo Membe hangaikeni naye wenyewe na upande ule wana Lissu! Shida iko wapi?
 
Urais wa Mkundu labda
Nilijua tu kuna mtu jambo hili litamkosesha amani na furaha! Ona sasa unautukana huku umeukalia! Akiwa rais wa kiungo hicho chako utamkubali? Kinyaa kweli wewe!
 
Hapa ni kwa kuamua, lakini si kwa free & fair election [emoji850]
 
Tatzo anautamani uraisi kiasi cha hata kuisaliti nchi ili awe rais.. Hafai
 
Magufuli hana ubavu hata wa kupambana na ABDUL NONDO.



Anachojua ni kutumia MIGUVU YA DOLA.

===================================
 
Ujinga! Ndiyo adabu uliyofundishwa kwenu? Ungekuwa unaweza kuutumia mkeo asingekuwa anagongwa nje huku akikukashifu na kumsifia hawara!
Hebu soma coment yako ya kwanza alafu uniambie kinachokukasirisha ni nini?
 
Nasubiria hoja za First Contestant!!.
 
Mpambano utakua mkali sana, tunaomba iwe hivyo ili mshindi atakayepatikana ajue wa-Tanzania wana imani nae
 
Lissu aseme hivyo kirahisi rahisi bila ridhaa ya Chama chake!
Acha mamneno yako, ametangaza nia, hajazuia wagombea wengine kutangaza nia zao, hata Mhe. Magufuli aliisha tangaza nia hata kabla chama chake hakijamteua. Kinachowaogopesha, ni ile nguvu ya MUNGU aliyonayo Mpakwa mafuta Lissu. Asingekuwa amepakwa mafuta, hakika asingefufuka katika kifo kilichokuwa kimemtokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…