Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Mshipa kwa maeneo ya Pwani ni utajiri !
Narudia tena wapinzani hapa Tanzania urais wasahau. Wsngemsikia Mwalimu Nyerere kama wasingekua CCM B labda sasa wangeshachukua nchi. Mwaka 1995 mwalimu aliwaambia wajikite kwenye ubunge ili walichukue bunge maana hata kama rais atatoka ccm wao ndo watatengeneza serikali wakadanganywa na ujio wa mzee wa Kiraracha wakapoteza nafasi nzuri. Ieleweke mwaka ule ccm haikupendwa na sisi vijana vyuoni. Kumbuka Kimaro Muhimbili Mbatia Mlimani. Kiburi cha kina Marando kikatufikisha hapa tulipo. Sada hivi kuitoa ccm wazo hilo ondoeni labda muwe kweli mna akili ya NYUMBU mkiamini Lissu anaweza kushinda
 
Niko tayari kufikiria kumpa kura yangu (akipewa nafasi na chama chake) hasa kama ata ahidi utawala wa sheria na haki vikiendana na kutupa mifumo (institutions )bora na madhubuti. Huyu mwingine ni wazi njia hiyo amethibitisha hataitembea kwani "ana amini" (kwa vitendo vyake) kuwa maendeleo na demokrasia haviendi pamoja.
 
Kutafta uenyekiti tu alipewa pyupyupyuu

Mjini
Sasa kwenye urais nadhan atapewa buuuu buuu buuum
Haya
Anataka urais wa wasafi mond anamaliza muda 2020
 
Hahaha anajitafutia umaiti tu bure. Bora angeomba kitambulusho cha umachinga akavaa tukapiga miayo mtaani.
 
Nazani safari hii Chadema wanasahihisha makosa yao.

Tuliwashauri kuwa unapokutana na mchina usiongee kiswahili wakati yeye anatema kichina, hamtoelewana.

Kuingia kwenye uchaguzi wakati mpinzani wako ndiye mmiliki wa tume pamoja na vyombo vya ulinzi alafu unategemea kushinda na kutangwaza mshindi, da! Huko ni kuota ndoto za mchana tena ukiwa unaogelea ndani ya swimming pool

Ndio, unapokutana na mchina wote walima muongee lugha moja ndipo mtaoelewana.
Kama wao wanamiliki vikosi vya ulinzi na nyie milikini vya kwenu, ( Rejea maamuzi ya bunge la Ulaya "TUTATOA MSAADA/ULINZI WOWOTE UTAKAO HITAJIKA KWA WAPIGANIA HAKI, WANAHARAKATI" )
Hiyo in fursa adimu wakati sahihi.

Kama wao wanamiliki tume ya uchaguzi basis na ninyi milikini ya kwenu, Rejea tamko la USA kupitia waziri wa mambo ya nje "2020 in lazima tusimamie/kuakikisha uchaguzi huru na wahaki unafanyika Tanzania"
Hapo jecha atakimbia.

Toka vyama vingi vianzishwe hakuna kipindi kizuri kwa wapinzani kama 2020 na hii ni kwasababu:-
1: Serekali ya awamu ya tano imefeli kwenye mambo ya kidiplomasia
2:Watumishi wengi wa uma na sekta binafsi wanalia hali ngumu na hawaoni matumaini
3: Ccm imewazarau wakongwe wao na kuwapa nafasi watu wasiokijua chama.
4:Watu wamenyimwa kuongea na vifuwa vyao vimejaa na watakapopata nafasi lazima waongee kwa ngumi,mateke nk.
5:..........
6:...........
7;...........

NB: Dhahabu iliyosafi ni lazima ipite kwenye tanuru la moto ndipo itang'aa. Taifa lazima litikisike ili likitulia tuwe na historia sahihi itakayotuongoza mbele na kuwafanya viongozi kujua nini gharama halisi ya uonevu.


Mwenye ufahamu na aelewe....
Mkuu nimekuelewa sana, post bora kabisa hii.!
 
Bora tundu aje alete upinzani wa kufa m2 watu walale na viatu.......Nipo upande wake ....sisiemu Hata wamuweke padri au sheikh siwawekei saini yangu
 
Kuna kipindi JK alikuwa anapuyanga mpaka watu kama Kigwangallah na Aldefonce Birohe wakajua na wao wanaweza kuongoza Nchi. Marehemu JK Nyerere (RIP) aliwahi kutuasa kwamba uRais sio nafasi ya kumpa mtu kwa majaribio kwa kuwa tu aliyekuwepo madarakani alikuwa mbovu. I hope mwaka 2020 wapiga kura akili zao zitakuwa zimeshabarehe
 
Kwa maoni yangu Mh. Tundu Lissu anafaa zaidi akifanya kazi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali, DPP au waziri wa sheria na katiba. Urais ni mzuri lakini tutakosa kuona taste yake hasa ktk taaluma yake where it needed most. Mi napenda akisonga front ktk law battles na siyo administrative
Hakuna jinsi acha ajitose tu maana ni kipimo kizuri sana kwa Rais wetu anatakiwa akutane na upinzani mkubwa hata akishinda ajue hiyo sio kazi nyepesi, na pia ni mtu pekee aliyebaki atakaye nifanya nipange foleni na kupiga kura kama si yeye sijisumbui.
 
Mtu mzima maanake Nini?,akili za nyumbu ziko matakoni kweli,hapa hatuangalii mtu mzima au mtoto ,Tundu Lissu atakuwa rais wa familia yako siyo sisi ,wewe Kama bingwa was kukariri mkariri huyohuyo Tundu Lissu wako na nyumbu wenzio
hapo ndio unapofeli kukariri kila kitu, wewe si mtu mzima kabisa, basi tulia 2020 si mbali lazima mng'oke
 
Kwenye tume nakubaliana na wewe lkn kwenye barabara sio sawa, watanzania hawana akili ya kuangalia rekodi huwa wanaangalia upepo wa kipindi hicho.

tunafuata upepo wa msimu

sawa
 
Mtu mzima maanake Nini?,akili za nyumbu ziko matakoni kweli,hapa hatuangalii mtu mzima au mtoto ,Tundu Lissu atakuwa rais wa familia yako siyo sisi ,wewe Kama bingwa was kukariri mkariri huyohuyo Tundu Lissu wako na nyumbu wenzio
haahaaahaa umeshapaniki tayari hii inaitwa usiempenda kaja, jiandaeni kisaikolojia mapema, naona roho inakuuma sena, haahaahaa 😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom