ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Ni kiashiria kuwa ni mchawi kwa kurithisishwaHata yakiwekwa ma JIWE mawili. Tutachagua Jiwe letu. Lenu tunaliacha.
Ni kukomoa tu. Adabu irudi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kiashiria kuwa ni mchawi kwa kurithisishwaHata yakiwekwa ma JIWE mawili. Tutachagua Jiwe letu. Lenu tunaliacha.
Ni kukomoa tu. Adabu irudi.
Ccm nimeichoka vibaya Sana inatunyanyasa Sana wafanya kazi kuhusu haki zetu za kupanda madaraja,nyongeza ya mshahara na ukisitaafu Tena tulipwe aslimila 25%,kweli kero Ni nyingi Sasa hvi hatuna amani na kazi hatuifurahii kazi kabisa,ila ndugu yangu kwa TUNDU LISSU ndo tutapotea jumla kabisa ,mkipata mwingine ndo tutawaunga mkono lakini Tundu Lissu akigombea hata nisipowapigia kura CCM watashinda tu ndo kinachonikerahaahaaahaa umeshapaniki tayari hii inaitwa usiempenda kaja, jiandaeni kisaikolojia mapema, naona roho inakuuma sena, haahaahaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Lisu Lisu umekoswa koswa sasa unataka kumuua huyu jamaa atapata Acute Myocardial infarction anytime bo body will save him, kumuka ana risk factor kubwa ya articial electrical nodes huyu.
Ccm nimeichoka vibaya Sana inatunyanyasa Sana wafanya kazi kuhusu haki zetu za kupanda madaraja,nyongeza ya mshahara na ukisitaafu Tena tulipwe aslimila 25%,kweli kero Ni nyingi Sasa hvi hatuna amani na kazi hatuifurahii kazi kabisa,ila ndugu yangu kwa TUNDU LISSU ndo tutapotea jumla kabisa ,mkipata mwingine ndo tutawaunga mkono lakini Tundu Lissu akigombea hata nisipowapigia kura CCM watashinda tu ndo kinachonikera
Mgombea wa ccm 2015 alipata kura mil 3 unusu tu dhidi ya zaidi ya mil 10 za mgombea wa UKAWANarudia tena wapinzani hapa Tanzania urais wasahau. Wsngemsikia Mwalimu Nyerere kama wasingekua CCM B labda sasa wangeshachukua nchi. Mwaka 1995 mwalimu aliwaambia wajikite kwenye ubunge ili walichukue bunge maana hata kama rais atatoka ccm wao ndo watatengeneza serikali wakadanganywa na ujio wa mzee wa Kiraracha wakapoteza nafasi nzuri. Ieleweke mwaka ule ccm haikupendwa na sisi vijana vyuoni. Kumbuka Kimaro Muhimbili Mbatia Mlimani. Kiburi cha kina Marando kikatufikisha hapa tulipo. Sada hivi kuitoa ccm wazo hilo ondoeni labda muwe kweli mna akili ya NYUMBU mkiamini Lissu anaweza kushinda
Swadakta sana mkuuI also agree Tundu Lissu is the right candidate for presidency in 2020 for opposition in general.....
Siyo Edward Lowassa, si Fredrick Sumaye na wala si Zitto Kabwe and I know hawezi kuwa Freeman Mbowe wala Saed Kubenea ama Lazaro Nyalandu ama Fahmi Dovutwa...
For sure, kama wanataka kuleta hamasa na amsha amsha ya watu kuunga mkono opposition ktk uchaguzi ujao, Tundu Lissu is the right pick hadi kwenye ushindi...
SIFA ZA TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISSU KUONESHA KUWA NDIYE RAIS AJAYE 2020 - 2025:
• Ni mjuvi wa sheria za ndani na za kimataifa kwa kiwango cha kutisha sana
• Anayo national and international exposure ya kutosha na kuzidi sana
• Ni mwanadiplomasia mwenye uwezo wa kutosha sana
• Ndiye mtu pekee aliyepitia misukosuko inayofanana na ya Nelson Mandela (aliyewahi fungwa gerezani na kuja kuwa Rais wa Jamhuri ya watu wa Afrika ya Kusini).
Huyu naye (TAML) kafungwa mara nyingi sana na kifungo cha mwisho ni hiki cha zaidi ya mwaka sasa cha maumivu ya kuuguza majeraha ya risasi za SMG zilizojaribu kuzima nyota yake ya Uongozi na Utawala kwa kumuua kabisa
• Ni mwana Uchumi mbobevu kabisa.
Na kwa kifupi kabisa huyu bwana ndiye mtu sahihi na kipekee kwa sasa mwenye uwezo wa kukabiliana na Pombe Magufuli mpaka amlete kwenye mamlaka ya kutii na hata kumwangusha chini kwa kishindo kikuu kama Daudi alivyomwangusha Mfilisti Goliath!!
Kama Tundu Lissu atakubali kuwa mgombea Urais mwaka 2020, mimi peke yangu na kwa gharama zangu mwenyewe nitahakikisha natafutia kura za [√] zisizopungua 1,000,000 kwa ajili yake na chama atakacho gombea!!
ANATOSHA.
Mkuu unataka nosemeje? Tatizo lenu mkiambiwa hamuelewi. Mimi nimesema Lissu hawezi kupata urais na wewe mwenyewe umeniunga mkono japo hesabu zako sizijui umezipataje lakini angalau siyo mnyama ila unataka kujibu kama mnyama.Mgombea wa ccm 2015 alipata kura mil 3 unusu tu dhidi ya zaidi ya mil 10 za mgombea wa UKAWA
Kina Bashite watakuwa wanajiharia na kupanga kummaliza kabisa lakini Mwenyezi Mungu atatenda.Hakika ANATOSHA SANA!!
NA HIZI TAARIFA KAMA NI KWELI, MASHETANI NA WACHAWI WA MAGOGONI KWA SASA HAWALALI NI VIKAO USIKU NA MCHANA!!
Hatuabudu marehemu kwani Nyerere ni nani?Narudia tena wapinzani hapa Tanzania urais wasahau. Wsngemsikia Mwalimu Nyerere kama wasingekua CCM B labda sasa wangeshachukua nchi. Mwaka 1995 mwalimu aliwaambia wajikite kwenye ubunge ili walichukue bunge maana hata kama rais atatoka ccm wao ndo watatengeneza serikali wakadanganywa na ujio wa mzee wa Kiraracha wakapoteza nafasi nzuri. Ieleweke mwaka ule ccm haikupendwa na sisi vijana vyuoni. Kumbuka Kimaro Muhimbili Mbatia Mlimani. Kiburi cha kina Marando kikatufikisha hapa tulipo. Sada hivi kuitoa ccm wazo hilo ondoeni labda muwe kweli mna akili ya NYUMBU mkiamini Lissu anaweza kushinda
Lowassa ashasahaulika
100%? Never...!Tunahitaji rais ataeheshimu utawala wa sheria na haki na usawa.
Atejali haki za wote bila upendeleo
Fikiria hilo
Kijana mbona unabwabwaja saana kulikonLowasa kwwnza hawezi kukubali, pia yule mwenyekiti wa kudumu hawezi kukubali maana anajua atashugulikiwa sababu ndiye aliye piga pyupyu katundu kaliso. Huvyo msitegemee kama atagombea urahisi sio mrais kama anavyofikiria. Huyu jamaa hata ubalozi wa nyumba kumi hafai. Maana ubunge umemshinda kutwa kucha anawaza kuorganize maandamano hafanyi kazi ambazo wananchi walimtuma akaenda tls ndo kaiua kabisaaaaa, kile chama kimegeuka chama cha siasa, mnataka kuiweka rehani nchi kwa huyu chizi ili aiuze kwa wazungu, shame on you guys mnaosapoti TAL kuwa rahisi kirahisirahisi tu
Lissu The GreatNo way, Tundu Lissu is the right candidate...
Tunataka mtu wa kumwondoa shetani ktk kiti cha enzi alichoiba siyo hizo personal ambitions zako....!!
Look at the BIG PICTURE brother, usiangalie tumbo lako tu, matakwa yako tu