jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Kuna tetesi Tanzania inapima wananchi wake marinda kwa nguvu. Sijui wewe wamekuacha vipi?Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni
1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.
2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.
Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais