Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni

1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.

2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.

Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais
Kuna tetesi Tanzania inapima wananchi wake marinda kwa nguvu. Sijui wewe wamekuacha vipi?
 
Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni

1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.

2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.

Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais
Ikiwa hapa JF hakuna ushabiki wa kivyama, kikabila na udini. Ndugu Benson analyses zako ziko vizuri sana, tena sana.

Kwa wale wanaomchukia Magufuli kwa uamuzi wake wa haraka ama kusema wazi wazi, basi wajue na Lissu ni kadhalika.

To represent us internationally zitto yuko juu sana na hana kiburi ni mtu wa watu na hatukani ovyo. Sio mtu wa visasi na sio mkabila.

Hata mie nitampa vote yangu
 
Kama Lissu anatosha kuwa mwenyekiti wa CHADEMA nafasi ya juu kabisa ya chama, basi anafaa kuwa Rais na anaweza kuwa Rais bora kushinda hata yule mwenye nafasi yake ambaye hajawahi kuongoza hata tawi la chama chake.
Hivi mnamjua sawasawa Elikael Mbowe nyie bavicha, mmesubiri awekwe korokoroni ndiyo mnaanza mapinduzi.Lissu kapewa na nani kibali cha kubeba kijiti badala ya Edo.Mnaota ndoto za mchana, yaani Edo kawekeza kiasi hicho halafu mpiga debe apeperushe bendera. Bavicha you are not serious
 
..mbona husemi hivyo kuhusu Jaji Brig.Generali Augustino Ramadhani vs Dr.John Magufuli?

..ukiweka mizani hiyo hiyo kwa upande wa ccm wako wanachama wengi wanamzidi JPM pamoja na kwamba amekuwa Raisi kwa miaka 3+.
Wasubiri amalize miaka yake 10
 
Ikiwa hapa JF hakuna ushabiki wa kivyama, kikabila na udini. Ndugu Benson analyses zako ziko vizuri sana, tena sana.

Kwa wale wanaomchukia Magufuli kwa uamuzi wake wa haraka ama kusema wazi wazi, basi wajue na Lissu ni kadhalika.

To represent us internationally zitto yuko juu sana na hana kiburi ni mtu wa watu na hatukani ovyo. Sio mtu wa visasi na sio mkabila.

Hata mie nitampa vote yangu
Tunatafuta Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, sio Barozi asiye na Nchi maalumu
 
Tatizo unadhani umejificha ,kumbe umelala kwenye shamba la karanga .Lengo lako lipo wazi kabisa wewe ni ant-Lissu.
Ndugu the true reality is the one that is anti Lissu. Huyu Lissu alivyonachuki hata kaburi la nyerere atalipeleka mahakamani
 
Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni

1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.

2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.

Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais
Tangu ufukuzwe Cdm hakuna jema lolote utakaloliona huko chadema .

Wewe uko CCM mambo ya wapinzani wapi na wapi ?!

Ya wapinzani waachie wao wanaelewana wao
 
Raisi ajaye wa Tz ni Tundu Lissu, hakuna mwenye ubavu wa kushindana na hii kiumbe
 
Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni

1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.

2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.

Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais
Umelewa
 
Wasubiri amalize miaka yake 10

..amepewa mitano na ameonyesha uwezo mdogo.

..huko nje nchi imechafuka.

..ndani ajira zimepotea, biashara zimefungwa, ukatili na ukandamizaji umeongezeka.

..pia ameligawa taifa kwa misingi ya kiitikadi.

..tusubiri miaka kumi ili avuruge zaidi?
 
Kumkataa Lissu kuwa Rais wa Tanzania halafu wakati huo huo unamuona Magufuli kuwa ni Rais bora, huo ni upumbavu wa kiwango cha juu kabisa ukiachilia mbali ujinga
Kila mtu ana mawazo yake.
Hayo ya kwako na wengine tunawaza tofauti nawe usilazimishe unachowaza wewe kiwe ndio sahihi.

Wengi wape, na wengi ndio wataamua 2020 awe raisi wa Tanzania kama walivyo fanya 2015.
 
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba uchaguzi huo huenda ukasimamiwa na Taasisi za nje , sasa hapo ndipo utasikia wagombea wa ccm wakijitoa
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Sipati picha kama leo mama Janeth chakula chake kimeliwa. Kitakuwa kimebaki mezani. weeeeeee LISSU Vs SIJARIBIWI. Patamu hapo. Gazeti la Mwananchi limemnyika mtu raha leo
 
Back
Top Bottom