Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamwe huyo hafai kuwa rais.
Ataishia kuuona urais wa TLS tu.
Popoma la Lumumba unaweweseka sana kusikia Lisu aweza kugombea urais...Pro Lissu uenyekiti wa Chadema Ant Lissu Urais
Ok ila we ni wale wapiga kampeni wenye low iq na hawana impact kwenye matokeoNdio maana kuna wapiga kampeni ambao wanawasaidia hao wapiga kura kuchagua kilicho bora
Living in dreamsNever,Never ,Never
Ni habari mbaya kwa mbow anayechimbwa huko segerea na lowsa aliyenunu chama. CCM tupo imara, yaani hata tusipopiga kampeni lazima tushinde kwa 100%%%Nyie Gazeti la Mwananchi mjue Mungu anawaona. kwa nini kumnyimisha mtu raha leo? Eti Lissu kakubali kugombea Urais. Mwemwemweeeeeeeeeee....................................... Habari mbaya kuwahi kutokea kwa baba Jesca.
Kutangaza ni haki yake, na mawazo na uchangiaji wa Benson hapa JF ni haki yake.Sijui kwa nini. Nia ya Lissu imekufanya ukose usingizi kabisa.
Leo.ndani ya siku 1 umeandika thread zaidi ya 3 kisa Nia tu ya lissu
Chadema ni chama cha ki demokrasia
muache atangaze nia kama hatopata wewe haitakupunguzia chochote pia kumbuka
Adui yako muombee njaa .sasa inakuaje ukatuombea mema CDM??!
Kwa tume hii ya uchafuzi wananchi hawana nafasi ya kuamua nani awe kiongozi waoKila mtu ana mawazo yake.
Hayo ya kwako na wengine tunawaza tofauti nawe usilazimishe unachowaza wewe kiwe ndio sahihi.
Wengi wape, na wengi ndio wataamua 2020 awe raisi wa Tanzania kama walivyo fanya 2015.
Tatizo unadhani umejificha ,kumbe umelala kwenye shamba la karanga .Lengo lako lipo wazi kabisa wewe ni ant-Lissu.
Umeonysha bila shaka yoyote tabia, kauli na mwenendo halisi wa mwana CCM. Hongera. Wewe ndiye mwana CCM halisi. Mwana CCM asiye na mawazo , kauli, na akili kama zako huyu anatudanganya. Wewe ndiye umeonyesha sura halisi ya mwanaCCMNi habari mbaya kwa mbow anayechimbwa huko segerea na lowsa aliyenunu chama. CCM tupo imara, yaani hata tusipopiga kampeni lazima tushinde kwa 100%%%
Naona unamhamishia lengo mtu, kumbukumbu zinasema Rais aliyepo alifaa kuwa waziri Mkuu maana ni mkurupukaji maana Rais atakuwa anamdhibiti.Nimesoma habari ya gazeti la Mwananchi kuhusu swala la Lissu kujiandaa na Urais 2020 hivyo kufanya idadi ya wagombea waliokwisha kutangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya Chadema kinyume kabisa na miongozo ya chama hicho kwa watia nia wake kuwa wawili mpaka sasa yaani Lissu na Lowassa.
Miongozo ya CHADEMA inawataka watia nia wa Urais kutangaza nia hiyo mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi mkuu ili kuepusha mpasuko ndani ya Chama. Aidha yuko Mbowe nae anataka kugombea Urais ila hatangazi ili apate nafasi ya kuwaengua wanaotangaza mapema wakati ukifika.
Kwa tunaomjua Lissu tunaamini kabisa kuwa hawezi kuwa kwenye nafasi kubwa kama Urais kwa sababu kubwa kuwa hayuko settled. Lissu anapaswa kuwa na chombo au mtu wa juu yake kumdhibiti. Lissu ni kama Lema, Wenje na sampuli hizo. Ni waongeaji, wakosoaji na wakitumwa kusemea jambo wana uwezo mkubwa wa kufanya.
Udhaifu wao mkubwa ni kwamba hawawezi kukaa kwenye kikao dakika 20 bila kutoka nje. Wako mbio mbio muda wote. Hawana ubunifu wao ni watekelezaji tu, ni watu wa visasi na makundi, wamekubuhu kwenye fitina hawa wote ndio walimpoteza Lytonga Mrema kwa kumgombanisha na wenzake akina Marando sasa wameshamgombanisha Mbowe na waliokuwa wapenzi wake akina Zitto, Dr. Slaa sasa wanataka Urais.
Dhambi kubwa ya Zitto na Dr Slaa CHADEMA ilikuwa ni kutangaza kugombea Urais. Waliosimamia mkakati wa kuvunja ndoto zao ni hawa vijana wa Lytonga Mrema waliotoka nae NCCR kwenda TLP halafu wakamtelekeza kule na kukimbilia CHADEMA. Kwasababu ni wabaguzi dhambi ile hawajawahi kuiacha ni sawa na kula nyama ya mtu.
Mimi binafsi namuunga mkono Lissu kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa sababu ndio pekee ninayemuona ana ujasiri wa kupambana na Mbowe japo hana mkakati. Simuungi mkono kwa sababu yeye atakuwa mwenyekiti mzuri kuliko Mbowe la hasha ila atavunja mwiko na kufungua mlango uliofungwa miaka mingi wa kupokezana vijiti ndani ya CHADEMA.
Aidha Lissu atatoa changamoto kwa siasa za upinzani nchini na kuzinogesha. Nampa tahadhari Lissu kuwa kama amesharubuniwa na Mbowe kuwa ataachiwa Urais na yeye aachie uenyekiti ameshashindwa kabla ya kuanza.
Kwa sasa Lissu focus kwenye Uenyekiti wa CHADEMA kwanza Urais unakuja tu wenyewe.
Nakutakia uponaji wa haraka Kamanda
Mbona unateseka sana, vipi chakubanga kakunyima buku saba yako? Unateseka sana.Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni
1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.
2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.
Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais