Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

Nyie Gazeti la Mwananchi mjue Mungu anawaona. kwa nini kumnyimisha mtu raha leo? Eti Lissu kakubali kugombea Urais. Mwemwemweeeeeeeeeee....................................... Habari mbaya kuwahi kutokea kwa baba Jesca.
 
Lissu kua mwenyekti wa Chadema ni ngumu sana... hiko kiti kina mizengwe mingi sana...


Cc: mahondaw
 
Huna hoja. Wewe zungumzia ya chama chenu ambapo Membe anafaa kuliko mgombea wenu wa sasa ya upinzani waachie wenyewe.
 
Ungeweka chini signatory kuwa msemaji wa Zitto wa kujipendekeza.
 
Nyie Gazeti la Mwananchi mjue Mungu anawaona. kwa nini kumnyimisha mtu raha leo? Eti Lissu kakubali kugombea Urais. Mwemwemweeeeeeeeeee....................................... Habari mbaya kuwahi kutokea kwa baba Jesca.
Ni habari mbaya kwa mbow anayechimbwa huko segerea na lowsa aliyenunu chama. CCM tupo imara, yaani hata tusipopiga kampeni lazima tushinde kwa 100%%%
 
Sijui kwa nini. Nia ya Lissu imekufanya ukose usingizi kabisa.
Leo.ndani ya siku 1 umeandika thread zaidi ya 3 kisa Nia tu ya lissu

Chadema ni chama cha ki demokrasia
muache atangaze nia kama hatopata wewe haitakupunguzia chochote pia kumbuka
Adui yako muombee njaa .sasa inakuaje ukatuombea mema CDM??!
Kutangaza ni haki yake, na mawazo na uchangiaji wa Benson hapa JF ni haki yake.
 
Sasa huku mkiwa mnapinga flani kuwa hafai kugombea uraisi wa nchi kwa sababu ambazo mmezitaja hapo juu......

Research yenu ndo ikaishia hapo hapo tu!!!???
Hamkuendelea mbele zaidi na kufanya uchunguzi wa nani ataefaa ndani ya CHADEMA kugombea uraisi
 
Nimejaribu kusoma mawazo yako....nyakati nyingine, hatuna budi kukiri kuwa bongo zetu huishia tu kuiaibisha miili yetu.
 
Kila mtu ana mawazo yake.
Hayo ya kwako na wengine tunawaza tofauti nawe usilazimishe unachowaza wewe kiwe ndio sahihi.

Wengi wape, na wengi ndio wataamua 2020 awe raisi wa Tanzania kama walivyo fanya 2015.
Kwa tume hii ya uchafuzi wananchi hawana nafasi ya kuamua nani awe kiongozi wao
 
Tatizo unadhani umejificha ,kumbe umelala kwenye shamba la karanga .Lengo lako lipo wazi kabisa wewe ni ant-Lissu.

Haa haa haa 😁😁😁 na kweli yumo ndani ya shamba la karanga akidhani kajificha ndani ya shamba la miwa ya Kilombero ile mirefu mita tano kwenda juu...

Yaani anatudanganya mchana kweupe kabisa kuwa Zitto amekomaa zaidi kisiasa kuliko Tundu Lissu ......

Na eti Zitto amepitia misukosuko mikali na migumu zaidi ya kisiasa kuliko Tundu Lissu na yote eti kaipita.... Huyu ni wazi haijui historia ya watu wote wawili hawa i.e Zitto Kabwe na Tundu Lissu....

Risasi zaidi ya 40 pekee za SMG alizopigwa huyu bwana Tundu Lissu na bado aka - survive ni msukosuko unaofunika misukosuko ya mwanasiasa yeyote anayeitwa mwanasiasa Tanzania achilia mbali Zitto Kabwe bali hata waliowahi kuwepo na pengine watakaokuwepo...!!

Hili hata Zitto Kabwe mwenyewe anajua na kulitambua vyema kabisa na ni wazi akimsoma mleta mada kwa hoja yake hii, jamaa (Zitto) atacheka sana..... Sawa na kumlinganisha Yohana mbatizaji na Yesu Kristo Masihi!!
 
Ni habari mbaya kwa mbow anayechimbwa huko segerea na lowsa aliyenunu chama. CCM tupo imara, yaani hata tusipopiga kampeni lazima tushinde kwa 100%%%
Umeonysha bila shaka yoyote tabia, kauli na mwenendo halisi wa mwana CCM. Hongera. Wewe ndiye mwana CCM halisi. Mwana CCM asiye na mawazo , kauli, na akili kama zako huyu anatudanganya. Wewe ndiye umeonyesha sura halisi ya mwanaCCM
 
Nimesoma habari ya gazeti la Mwananchi kuhusu swala la Lissu kujiandaa na Urais 2020 hivyo kufanya idadi ya wagombea waliokwisha kutangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya Chadema kinyume kabisa na miongozo ya chama hicho kwa watia nia wake kuwa wawili mpaka sasa yaani Lissu na Lowassa.

Miongozo ya CHADEMA inawataka watia nia wa Urais kutangaza nia hiyo mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi mkuu ili kuepusha mpasuko ndani ya Chama. Aidha yuko Mbowe nae anataka kugombea Urais ila hatangazi ili apate nafasi ya kuwaengua wanaotangaza mapema wakati ukifika.

Kwa tunaomjua Lissu tunaamini kabisa kuwa hawezi kuwa kwenye nafasi kubwa kama Urais kwa sababu kubwa kuwa hayuko settled. Lissu anapaswa kuwa na chombo au mtu wa juu yake kumdhibiti. Lissu ni kama Lema, Wenje na sampuli hizo. Ni waongeaji, wakosoaji na wakitumwa kusemea jambo wana uwezo mkubwa wa kufanya.

Udhaifu wao mkubwa ni kwamba hawawezi kukaa kwenye kikao dakika 20 bila kutoka nje. Wako mbio mbio muda wote. Hawana ubunifu wao ni watekelezaji tu, ni watu wa visasi na makundi, wamekubuhu kwenye fitina hawa wote ndio walimpoteza Lytonga Mrema kwa kumgombanisha na wenzake akina Marando sasa wameshamgombanisha Mbowe na waliokuwa wapenzi wake akina Zitto, Dr. Slaa sasa wanataka Urais.

Dhambi kubwa ya Zitto na Dr Slaa CHADEMA ilikuwa ni kutangaza kugombea Urais. Waliosimamia mkakati wa kuvunja ndoto zao ni hawa vijana wa Lytonga Mrema waliotoka nae NCCR kwenda TLP halafu wakamtelekeza kule na kukimbilia CHADEMA. Kwasababu ni wabaguzi dhambi ile hawajawahi kuiacha ni sawa na kula nyama ya mtu.

Mimi binafsi namuunga mkono Lissu kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa sababu ndio pekee ninayemuona ana ujasiri wa kupambana na Mbowe japo hana mkakati. Simuungi mkono kwa sababu yeye atakuwa mwenyekiti mzuri kuliko Mbowe la hasha ila atavunja mwiko na kufungua mlango uliofungwa miaka mingi wa kupokezana vijiti ndani ya CHADEMA.

Aidha Lissu atatoa changamoto kwa siasa za upinzani nchini na kuzinogesha. Nampa tahadhari Lissu kuwa kama amesharubuniwa na Mbowe kuwa ataachiwa Urais na yeye aachie uenyekiti ameshashindwa kabla ya kuanza.

Kwa sasa Lissu focus kwenye Uenyekiti wa CHADEMA kwanza Urais unakuja tu wenyewe.

Nakutakia uponaji wa haraka Kamanda
Naona unamhamishia lengo mtu, kumbukumbu zinasema Rais aliyepo alifaa kuwa waziri Mkuu maana ni mkurupukaji maana Rais atakuwa anamdhibiti.
Hoja hii ilisababisha Kingunge aondoke na imani yake kutoka CCM.
Tukiri kwamba Tanzania kama nchi viongozi hawaandaliwi ndo maana kila mtu anadhani anaweza kuwa Raisi.

Naheshima uwamuzi wa aliyetangaza nia kwasababu zifuatazo:
1. Anauwezo wa kuhamasisha halazimisha na kushawishi watu, hivyo watu watakuwa wakienda naye katika hali zote tofauti na huyu wa sasa

2. Ana uzoefu wa siasa za haki na atawalinda watu dhidi ya dhuruma sababu anajua hali aliyopitia alipotaka kudhurumiwa uhai wake

3. Hana historia mbaya kwenye siasa mfano rushwa zaidi ya kupigania wanyonge bila kujitangaza
4. Amewahi ongoza wasomi wa nchi hii ambao yamkini ingekuwa shida kufika nao lakini alijitahidi kufanya TLS ijipambanue vizuri.

5. Wakati wa sasa kisiasa unaruhusu kufanya hivyo kwa sababu Watanzania wengi wameumia sana Kimwili na kiroho hivyo yeye anaweza kuja kuponya nafsi zilizojeruhiwa yeye mwenyewe akiwa mmoja wapo.

Nashauri ili tusiingie kwenye gharama kubwa ya uhai wa watu, asiruhusiwe kwa sasa maana watu wengi watajitolea kufa naye mpaka 2025

Namkubali na naelewa yeye ni potential kati ya potentials wa Tanzania.

Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
Kwa kuzingatia sifa kuu mbili tu muhimu Zitto ni zaidi ya Lissu kwa nafasi ya Urais Upinzani. Sifa zangu mbili ni

1. Ukomavu wa kisiasa
Zitto amekomaa kisiasa kuliko Lissu. Zitto amekabiliwa na misukosuko mingi ya kisiasa na amevuka yote.

2. Exposure (Kujua na kujulikana)
Zitto anajua mambo mengi sana. Anajulikana sana kitaifa na kimataifa. Ana network kubwa sana duniani na ndani ya Tanzania. Zitto ana deserve kuwa Rais na atamudu zaidi kuliko Lissu.

Lissu achukue Uenyekiti wa Chadema kwanza ndio awaze Urais
Mbona unateseka sana, vipi chakubanga kakunyima buku saba yako? Unateseka sana.
 
Back
Top Bottom