johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amesema alimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake na ilipokelewa na msaidizi wake. Lissu aliacha ujumbe wa kuomba kukutana na Rais ili waweze kujadili kwa pamoja mageuzi ya kiuchumi na mustakabali wa taifa.
Tundu Lissu amesema bado anasubiri majibu.
Source: Swahilu Times
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Tundu Lissu amesema bado anasubiri majibu.
Source: Swahilu Times
Nawatakia Dominica yenye baraka!