Tundu Lissu: Nilimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake, bado nasubiri majibu

Tundu Lissu: Nilimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake, bado nasubiri majibu

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amesema alimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake na ilipokelewa na msaidizi wake. Lissu aliacha ujumbe wa kuomba kukutana na Rais ili waweze kujadili kwa pamoja mageuzi ya kiuchumi na mustakabali wa taifa.

Tundu Lissu amesema bado anasubiri majibu.

Source: Swahilu Times

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Leo umepata bando? hongera sn naona posho imetoka
 
Uzi wa kihuni na umeletwa na lihuni.Uzi umeandikwa kwa ufupi na kichonganishi.Kama haujui kumsoma mleta uzi unaweza kudhani ni binadamu kumbe kiumbe tu.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya ndy masalia ya mwendazake huyu hana tofauti na Muraga
 
Hivi nyie watu mbona rais huwa mnamchukulia kama Mungu? Hiii mindset ya kipumbavu inatakiwa ifutike vichwani mwenu, rais ni kaajiriwa na raia hapaswi kuogopwa.
Hawa ndy praise and worship wanadhani Rais hana tundu la kutolea uchafu ni kiumbe kutoka juu mawinguni[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Baada ya muamala kusoma naona johny umerudi dimbani😂

Ova
 
Back
Top Bottom