Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

Ni kweli kuna watu wanajipa moyo kwa kuwa wanamiliki mabomu na vidunguaji. Lakini wanajiuliza Lissu anapata nguvu wapi?? Kuna wakati hata naogopa.

Usiogope...

Silaha ya ushindi wa vita yoyote ni UJASIRI...

WOGA ama HOFU ni mlango wa ibilisi kupenya popote na kufanya kazi yake ya uporaji na uuaji...

Kilicho nyuma ya Tundu Lissu ni UJASIRI na kwa ujasiri wake huu ana - influence mamilioni ya watu positively nao taratibu wanaanza kujiaamini na kuamini kuwa kumbe INAWEZEKANA...
 
Ninamkubali mno na sana tu Mheshimiwa Tundu Lissu japo tunatofautiana Itikadi zetu Kivyama, ila hili la Yeye 'Kutishiwa' maisha simuamini 100%.
 
Lisu ni mtu muhuni tu na anatumia siasa kutengeneza pesa za uzeeni badala ya kutumia sheria aliyo isomea kufanya kazi zake ili apate mkate

Yamkini wazungu wanamsikia yote anayosema ili wampe pesa,na yeye anaropoka tu akijua yupo kazini kuwatumikia washenzi wa huko alikokua maana watakua wamemfadhili kwa makubaliano ya kuja kuwalipa mali ya sisi wananchi

Wananchi wengi hawapendi kufikiri kwa kina juu ya kauli zake na kauli zao kama upinzani miaka ya nyuma,wananchi wengi wanaona Rais husika jinsi anavyo wapambania lakini wanakua kama wamerogwa fulani hivi hawajielewi.

Ukipita vijiweni ukasikia wapenzi wa Lisu wanavyo muongelea mpaka unawahurumia na kuona wazi kabisa akili wanazo lakini hazifanyi kazi sawa sawa.

1. Walivyowahi kuvipigia kelele kama upinzani, vilivyo vingi ndivyo anavyo fanya Magufuli, na si kwamba serikali na chama chao husika hakikua kinajua bali kila jambo hua lina wakati na mipango kazi wanayoifanya ya miaka 15 kwa mujibu wa kauli ya Kikwete..Yanakwenda yanatekelezwa kulingana na muda sahihi na baada ya kukusanya mapato ya nchi, lakini wao leo wamegeuka na kuponda tena kile walicho wahi kukipigia kelele

2. Tundu Lisu amekua kama amechanganyikiwa
(a)-: hatuelezi atatufanyia nini wananchi na badala yake analalamika tu
(b)-:anaonyesha wazi ana hasira tu na Magufuli bila sababu ya msingi kwa wananchi na kujiosyesha wazi ana ulafi tu wa mamlaka kwa kutaka sifa na heshima pia kukusanya pesa za maisha yake ya baadae maana anajionyesha wazi ni mwenye tamaa

3. Hana talanta ya kuongoza nchi. Hii inahitaji akili kumuangali mtu mwenye amebarikiwa kua kiongozi wa nchi au watu kuchagua mtu asiye na chochote kwao,huyu hana baraka yoyote mbele za MUNGU kuongoza uma wa nchi hii.

NB: Naamini kabisa anajua kua hataweza kua Rais isipokua anafanya kwa maslahi ya kujipatia kipato kupitia fikra finyu za watu wanao mshabikia na kupata pesa kupitia wafadhiri wake washenzi..ikumbukwe kua ataangushwa vibaya maana siasa haiko kwenye twitter,iko kwa wananchi 85% kama si 90% ya wananchi wanaosubiri siku ya kupiga kura,wananchi tunaoona alichosema Tundu Lisu huko youtube, Twitter na humu jf ni thelusi tu ya wananchi wote ambao wanamuona Magufuli kila siku huko kwao akisimam na kutatua kero zao

Mwenye ataghafirika namuomba achukue viwembe kama vitatu hivi akatekate kisha ameze na glass moja ya maji atulie asubiri kifuatacho
 
Kati ya LISSU na wewe 🐖👷nani amepoteza mwelekeo
 
Kuna vijana hawana ajira zaidi ya million tano. Hao tukiwa re-cruite to kutakuwana jeshi kubwa la waasi na lazima tuwamwage mavi. Na waliopotezwa wote mtawatafuta. manina
 
Mungu yupo nasi. Kila hila yake, haitafanikiwa kabisa.
 
Kuna vijana hawana ajira zaidi ya million tano. Hao tukiwa re-cruite to kutakuwana jeshi kubwa la waasi na lazima tuwamwage mavi. Na waliopotezwa wote mtawatafuta. manina
Blind mind. Hao utakao wamwaga mavi kwa sababu ya tundu Lissu wapo pia ndugu na jamaa zako, shame on you.
 
s
Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Subiri Ilani ya Chadema wewe mataga ..kuna jitu litakufa..Elimu chuo kikuu bure na wote waliohitimu wanafutiwa mkopo bwa bwa bwa
 
Huyu jamaa kadili siku zinavyoenda akili zinazidi kumruka,kwani akifa kunashida gani,anaogopa kufa,yeye nani kwa Tanzania hii hadi asife? Mpuuzi sana huyu mgombea wetu

Kulialia kwake ati naye anaamini ataukwaa urais kwa huruma za wananchi,raia wanataka mtu makini kama JPM anayesena na kutenda sio huyu anayeogopa kufa huku akiutaka urais kwa mgongo wa huruma za raia
 
Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Huu siyo muda wa kampeni, ni wa kutafuta wadhamini. Toka Lissu achukue fomu naona unawashwa sana. Wacha upumbavu. Hao wengine kila uchao wanaahidi mengi lakini sasa yapata miaka 50?! Zaidi ya ku-mentain yale yaliyoachwa na wakoloni? Elimu ya kikoloni, reli ya mkoloni, miundo mbinu ya maji, barabara na umeme ya mkoloni za mkoloni, Dansi za maneno ya hovyo za akina Diamond ni za Kibeberu, usafiri wa anga wa kibeberu, biashara ya exchange ya vitu kwa pesa za waoloni. Nyie mewafanyie nini sasa watanzania?! Shenzi kabisa. Wadanganyeni wa huko.
 
Kuna vijana hawana ajira zaidi ya million tano. Hao tukiwa re-cruite to kutakuwana jeshi kubwa la waasi na lazima tuwamwage mavi. Na waliopotezwa wote mtawatafuta. manina
Hiyo mipango yenu hamtokaa mfanikiwe kamwe, tutasimama imara na taifa letu na viongozi wetu wazalendo, Na hakitoka magufuli tunaingiza chuma kingine mwendo ni huu huu kuiletea nchi maendeleo na kulinda watu wetu na hila za watu kama wewe na lisu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…