Lisu ni mtu muhuni tu na anatumia siasa kutengeneza pesa za uzeeni badala ya kutumia sheria aliyo isomea kufanya kazi zake ili apate mkate
Yamkini wazungu wanamsikia yote anayosema ili wampe pesa,na yeye anaropoka tu akijua yupo kazini kuwatumikia washenzi wa huko alikokua maana watakua wamemfadhili kwa makubaliano ya kuja kuwalipa mali ya sisi wananchi
Wananchi wengi hawapendi kufikiri kwa kina juu ya kauli zake na kauli zao kama upinzani miaka ya nyuma,wananchi wengi wanaona Rais husika jinsi anavyo wapambania lakini wanakua kama wamerogwa fulani hivi hawajielewi.
Ukipita vijiweni ukasikia wapenzi wa Lisu wanavyo muongelea mpaka unawahurumia na kuona wazi kabisa akili wanazo lakini hazifanyi kazi sawa sawa.
1. Walivyowahi kuvipigia kelele kama upinzani, vilivyo vingi ndivyo anavyo fanya Magufuli, na si kwamba serikali na chama chao husika hakikua kinajua bali kila jambo hua lina wakati na mipango kazi wanayoifanya ya miaka 15 kwa mujibu wa kauli ya Kikwete..Yanakwenda yanatekelezwa kulingana na muda sahihi na baada ya kukusanya mapato ya nchi, lakini wao leo wamegeuka na kuponda tena kile walicho wahi kukipigia kelele
2. Tundu Lisu amekua kama amechanganyikiwa
(a)-: hatuelezi atatufanyia nini wananchi na badala yake analalamika tu
(b)-:anaonyesha wazi ana hasira tu na Magufuli bila sababu ya msingi kwa wananchi na kujiosyesha wazi ana ulafi tu wa mamlaka kwa kutaka sifa na heshima pia kukusanya pesa za maisha yake ya baadae maana anajionyesha wazi ni mwenye tamaa
3. Hana talanta ya kuongoza nchi. Hii inahitaji akili kumuangali mtu mwenye amebarikiwa kua kiongozi wa nchi au watu kuchagua mtu asiye na chochote kwao,huyu hana baraka yoyote mbele za MUNGU kuongoza uma wa nchi hii.
NB: Naamini kabisa anajua kua hataweza kua Rais isipokua anafanya kwa maslahi ya kujipatia kipato kupitia fikra finyu za watu wanao mshabikia na kupata pesa kupitia wafadhiri wake washenzi..ikumbukwe kua ataangushwa vibaya maana siasa haiko kwenye twitter,iko kwa wananchi 85% kama si 90% ya wananchi wanaosubiri siku ya kupiga kura,wananchi tunaoona alichosema Tundu Lisu huko youtube, Twitter na humu jf ni thelusi tu ya wananchi wote ambao wanamuona Magufuli kila siku huko kwao akisimam na kutatua kero zao
Mwenye ataghafirika namuomba achukue viwembe kama vitatu hivi akatekate kisha ameze na glass moja ya maji atulie asubiri kifuatacho