Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
NonsenseMagufuli anaondoka kwa Hali hii atake asitake. Kuanza huenda vurugu zikaibuka kabla ya uchaguzi. Ofisi za serikali huenda zikaharibiwa kwa njia yoyote ile ikiwa watu watawakimbia wagombea wa upinzani. Hicho ndicho kinatafutwa nasikia Marekani na Uingereza wamejiweka tayari. Tusali Sana wa Tanzania. Pia Membe kasema chochote chaweza kutokea kabla ya October 2020, anajua wamepanga nini.
Huo nimtizamowako waajabuajabu, yeye magu anapoongea kwakukosoa anatafuta Nini Kama si kushawishi wananchi. Unadhani utapata ufadhili bila kuwa na sera inayoonyesha wapi pamekosewa na Nini utafanya ili makosahayo yasijirudie kwafaida ya Taifa,fikeni mahala muache kuwapandikiza chuki watu badala yakuwahamasisha watafakali na Kisha uchaguzi uishe kwaamani namafanikioLisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
Kampeni bado subiri utamsikia tu, hata ilani ya uchaguzi ya chama chake bado hajakabidhiwa rasimi kuifafanua kwa umma. Subiri, akifanya sasa hivi atakuwa anavunja sheria upo?Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Ahahahahahah! Safari hii hayo maboksi msiyakubali! Ahahahahahaha! Ila ujue na sie ni wapiga kura na tunajuana!Kwani kuwa amiri jeshi mkuu ni mpaka nikiri, au ukishakuwa rais cheo cha amiri jeshi mkuu ni automatically. Ni wapi nimebisha kuwa yeye ni amiri jeshi mkuu? Kuwa tena amiri jeshi mkuu sina tatizo iwapo ni kwa ridhaa ya walio wengi, sio ile ya mabox ya kura kujazwa kura za ccm kwa uratibu wa jeshi la polisi.
Kwani kampeni zimeanza?Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Ana amasisha uvunjifu wa sheria
Ahahahahahah! Safari hii hayo maboksi msiyakubali! Ahahahahahaha! Ila ujue na sie ni wapiga kura na tunajuana!
TUKUTANE OKTOBA 28!
Kama hamkufuata utaratibu, mlitaka mbembelezwe? Mngeenda kitandani!!Kama na nyie ni wapiga kura, kipi kiliwafanya mnajisi chaguzi za marudio na uchaguzi wa SM?
Mwaka huu mpaka mjambe cheche mbwa nyie!Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Kea uweza wake mkuu na wa ajabu atatendaMungu yu pamoja nawe lissu
Swissme
Kila Mtu anachakeLisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
Mmekazana mataifa ya nje mataifa ya nje. Kwani kuomba kuwa Rais wa nchi ni dhambi isiyosameheka ?!. Urais ni kazi kama kazi nyingine. Waacheni WaTz wenye uwezo waombe kwa wananchi kazi .Lisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
Nadhani kampeni bado hazijaanza, au unataka aanze kampeni ili mmkate?Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.