Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

Magufuli anaondoka kwa Hali hii atake asitake. Kuanza huenda vurugu zikaibuka kabla ya uchaguzi. Ofisi za serikali huenda zikaharibiwa kwa njia yoyote ile ikiwa watu watawakimbia wagombea wa upinzani. Hicho ndicho kinatafutwa nasikia Marekani na Uingereza wamejiweka tayari. Tusali Sana wa Tanzania. Pia Membe kasema chochote chaweza kutokea kabla ya October 2020, anajua wamepanga nini.
Nonsense
 
Lisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
Huo nimtizamowako waajabuajabu, yeye magu anapoongea kwakukosoa anatafuta Nini Kama si kushawishi wananchi. Unadhani utapata ufadhili bila kuwa na sera inayoonyesha wapi pamekosewa na Nini utafanya ili makosahayo yasijirudie kwafaida ya Taifa,fikeni mahala muache kuwapandikiza chuki watu badala yakuwahamasisha watafakali na Kisha uchaguzi uishe kwaamani namafanikio

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Kampeni bado subiri utamsikia tu, hata ilani ya uchaguzi ya chama chake bado hajakabidhiwa rasimi kuifafanua kwa umma. Subiri, akifanya sasa hivi atakuwa anavunja sheria upo?
 
Vyombo vya dola tunaomba muwe making tafadhali

Lissu ana haki ya kuishi nchi kitisho chochote dhidi ya uhai wake Ni ufedhuli

Hatutaki yajirudi hao wahuni wanaichafulia nchi yetu taswira huko nje

Safari hii kateeni kutumika vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuwa amiri jeshi mkuu ni mpaka nikiri, au ukishakuwa rais cheo cha amiri jeshi mkuu ni automatically. Ni wapi nimebisha kuwa yeye ni amiri jeshi mkuu? Kuwa tena amiri jeshi mkuu sina tatizo iwapo ni kwa ridhaa ya walio wengi, sio ile ya mabox ya kura kujazwa kura za ccm kwa uratibu wa jeshi la polisi.
Ahahahahahah! Safari hii hayo maboksi msiyakubali! Ahahahahahaha! Ila ujue na sie ni wapiga kura na tunajuana!

TUKUTANE OKTOBA 28!
 
LISSU: NAPOKEA TAARIFA ZA VITISHO.

VYOMBO VYA USALAMA MNA WAJIBU WA KUWADHIBITI WAHUSIKA

- Lissu amesema tangu kupigwa risasi Septemba 2017 hawawezi kupuuzia kitisho chochote

- Amesema huu sio muda wa kutishana tena bali ni muda wa Uchaguzi

FB_IMG_1597160521086.jpeg
 
Africa ni bara la giza .

Waridhike kuwa na madaraka mambo ya kuumizana na kuuana ni upuuzi . Kwani hata wao hawataishi milele
 
Asante Lissu,Ujinga sasa basi!!!Mungu aendelee kukulinda,Pombe lazima imwagwe chini.
 
Ahahahahahah! Safari hii hayo maboksi msiyakubali! Ahahahahahaha! Ila ujue na sie ni wapiga kura na tunajuana!

TUKUTANE OKTOBA 28!

Kama na nyie ni wapiga kura, kipi kiliwafanya mnajisi chaguzi za marudio na uchaguzi wa SM?
 
Lisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
Kila Mtu anachake
 
Mmekazana mataifa ya nje mataifa ya nje. Kwani kuomba kuwa Rais wa nchi ni dhambi isiyosameheka ?!. Urais ni kazi kama kazi nyingine. Waacheni WaTz wenye uwezo waombe kwa wananchi kazi .
 
Back
Top Bottom