Pre GE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tundu Antipas Lisu hakuanzia Siasa Chadema, usisahau hilo😂


..Samia Suluhu hata umpe miaka 20 hawezi kuja na kitu kama hicho alichoandika Tundu Lissu.

..tumpe Tundu Lissu maua yake. Huyu ni mwalimu, mwanahistoria, mwanaharakati, na mwanasiasa, wa aina yake kutokea hapa Tanganyika.
 
Best
Best
Best EVER

Naunga mkono
 
Umejuaje atashindwa, Mnajiita chama cha demokrasia wakati demokrasia yenyewe hamuijui......


Chawa wa Mwenyekiti.
 
Unalazimisha mkuu.

This logical fallacy is called argument from authority.

Mtu anapimwa kwa hoja zake, si kwa jinsi alivyofanya darasani.
 
Bila MWamba DJ Mbowe saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !!
Mbowe akili kubwa sana Lissu haiwezi !!
Wewe n maiti mnamtetea Mbowe sio Kwa uwezo wake bali Kwa kujali kabila lake.
Machaga mapumbavu Sana nyie
 
Gentleman ni kama unamwogopa lisu zaidi kuliko Mbowe?
Sure namuogopa,
maana utamkamata wapi kila ukimgusa ni kama anaumia tu ..
lazma kuwe na utu kidogo,

hakuna wa kuogopa kwenye siasa gentleman 🐒
 
kaka sie watu wa kanda ya kati tumeamua kuonja Sumu cha makao makuu pia Tuayaamisha chama akina mizizi ya Moshi
Ni kweli, sasa ni wakati wa CHADEMA kuondoa hiyo Image ya "Tribalism".
 
LISU kanyaga twende mjomba miaka 20+ inamtosha mwamba, Chama sasa kilikuwa kinarudi utotoni.
 

🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡 NO HATE. NO FEAR!.
 
Change may sometimes have a pain, but still is needed.. Mabadiliko lazima.
Mwenyekiti wangu Mbowe, nikuombe, tumia hekima na busara. Usishindane na Mh Lissu. Atakugaragaza.
Tafuta nafasi hata ya mwenyekiti wa wazee wa Chadema ili uendelee kubaki ndani ya chama. Tuendelee kuchota hekima zako.
Tumia busara. Kuna hatari ya chama kukufia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…