Pre GE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tumuache aunde mifumo na chadema iwe taasisi hatimaye! Mambo ya uanaharakati wa msimu yaishe
 
Mr Mbowe should have known this saying: “A good dancer knows when to leave the stage,” Patrick Lumumba once said. Mr Mbowe, with all due respect, 20 years is enough time to mentor young leaders and let them move the party to even higher heights! Mr Mboye, please honourably rescind your candidature as party chairman.
 
Tunafanya shughuli ya chama kwa kuomba hela kwa watu watusaidie kwa sababu wanakipenda chama, lakini tumeruhusu utaratibu ambao badala ya kuzipeleka kwenye chama, zinaletwa kwenye mifuko yetu binafsi.”
kumbe mmeruhusu[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
 
Nilipo kuwa ninasema hspa watu wa chadema waliniona mpumbavu...ka mbowe ni muhuni tu
 
Mbowe must go nkurunzinza mbowe apumzike
Siafik lugha za sampli hii kutolewa na mtu mwnye kupenda mabadiliko mujarab. Mbowe katenda mengi mazuri na hata kupitia maumivu/mateso mengi kw ajli ya hiki chama. Ni vema basi, hata kama wanachama wanapenda mabadliko, wajue pia Mbowe ameongoza ktk kipindi kigum na kpitia mateso pia na kwmb kugombea kw Lissu isiwe sbb ya kusahau mema ya mtanglizi wke. Lugha hz za"... must go" ziwe kw wapinzani wa chama tu ...nk. tukumbuke mchango wa kila mtu ktk ujenzi wa CDM ktk vipindi mblmbl vya uongozi huu wa "serikali ya ccm"! kama tnavotangaziwa
 
Nilipo kuwa ninasema hspa watu wa chadema waliniona mpumbavu...ka mbowe ni muhuni tu
CDM ni wahuni na leo imejidhihirisha kila sku ooh sisi sera yetu ni decentralization kumbe kweny chama chao tu hakuna decentralization..kila sku ooh uwaz na kukemea ufisad kumbe kweny chama chao ndo yamejaa hayo..ooh tunataka uchaguz huru na wa haki wakat uchaguz wao tu wa kweny chama ndan hamna uhuru na haki. Yaan namaliza kwa kusema ni MPUMBAVU pekee atayewaamini CDM kwamba watatatua matatizo ya nchi hii na mtu huyo ajitambue ni mtaji wa kisiasa kwa wanasiasa.
 
Chademq Hakuna chama hapo ni kama CCM tu
 
Yuko vizuri sana huyu jamaa
 
Umeongea kizezeta kabisa nullification ya sifa zako zote hivyo wewe ni kilaza , Akili ni transformative endelea na ujinga huo na unasumbuliwa na wivu meza kupindukaa sasa hivi wewe kidampa wakati Lissu ni Dream liner
 
Kama kulikuwa amna ruzuk angepewa kiulan lakin mbele ya ruzuk thibutu
 
Mara zote nimechuku....

kuhakikisha kwamba tunaendeleza na kuimarisha utamaduni wa kubadilisha uongozi na madaraka ya uongozi ndani ya chama chetu

Mmekaa hapa kwa muda mrefu sana kwa mazuri yoyote ambayo mmekuwa mkiyafanya.

Ondokeni,
☝🏿😂😂😂
Mbowe na genge lake tumbo joto.


ni umuhimu mkuu wa kuzingatia na kuheshimu Katiba
Dongo la moja kwa moja🔥
.... taratibu zote za uchaguzi. Kuacha kuzingatia na kuheshimu Katiba ya chama ni kukaribisha kila aina ya uhuni, rushwa,
☝🏿...kama namsikia Msigwa vile🤔
 
Je hatofanyiwa visa na hila kweli ?! 🤔🤔

Kwa Maneno yake ya jana Sijui juzi ya Mboe ni wazi anataka kuwa Mwenyekiti wa kudumu,
Sasa je hapo itakuwaje ?
Sio mwanzo wa hasama huo ?!
Naliona Hilo jambo la hila likifanywa kwenye hii ishu
 
Namchukia sana lisu sababu anamuandama sana magufuli akauki mdomo wake kila kitu magufuli anamdhalilisha hajui kusamehe Nitafurahi sana akishindwa na mbowe na iman yangu kwa upinzani itakuwa imerudi

Mungu sikia duwa zetu lissu ashindwe na apotee kabisa kwny siasa
 
Kufa kabisa.Usichukie tu.Amua kujifia mkuu.
 

Tofautisha kusamehe na kusahau
 
Mwenda zake bado anaandamwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…