Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

Tundu Lisu anajichekesha tu, wangapi zamani walikua wazalendo ila sasa wamebadilika, Tundu Lisu wa Chadema ni mnafiki mnafiki, tofauti na Lisu wa zamani.. Sasa hivi yupo chini ya Mbowe.. Ni sawa na utake Polepole wa Bunge la katiba awe na wa sasa sawa
 
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Kama kamati ya Maccm iliyoundwa inasema ILETEMIKATABA ya gesi ,madini na Mafuta bungeni

Nihatari sana kuwa na Taifa linalodanganywa kuwa " maiti atapona huku ukijua kuwa hakuna aliyewahi kurudishia mtu uhai wake"
Ccm nichama kilichokufa kinatengeneza ubuyu ili siku ziende kwani wapenda ubuyu wako wengi ,na uwezo wa kuhoji hawana kazi kupiga makofi!

Utapigaje makofi unaambiwa " sileti chakula,mfe mfe tu,kama sio ugonjwa wa Kukosa maarifa umekita mizizi Tanzania?

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa ,maarifa!!
 
Huna tofauti na walinzi Wa bibi Wa kisiwa cha nginingi au nimiongoni Wa " An animal farm"
 
Ccm ndio wametufikisha hapa tutalipa hilo deni na wananchi tumeamua kuitoa ccm kwa khali yoyote hata kwa upande wa pili.2020

$wissme
 
Unadhani ukitetea uninga udas utaupata,ninyi Hanna tofauti na yule binti Wa kwenye kitabu cha Mine boy
 
Kama nyie ndio wasomi wa upinzani mliobobea basi mwenyezi Mungu atunusuru mtakaposhika dola.

What a waste.
Waste" ni ile inayopitisha mikataba ya kijinga na mpumbavu kama wewe unashangilia halafu unageuzwa akili kuwa tunaibiwa wakati madhara ya mkataba mbovu unajua.
Mkiitwa mapunguani hamtaki
 
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Ndio maana ccm tunaonekana ka maboya, Lowasa aliikuwa kwetu MSAFI, kaenda opposition mbaya, basi si kafungue kesi mahakama ya mafisadi? Kina yakhe hawana cha kupoteza ila ni kweli ccm ndio iliyotufiksha hapa, hatuchomoi.
 
Trol JF njoo, Lizaboni njoo, cocochanel njo, & Co. Ltd.
Wasomi mweeee ,,,,Tanzania itakuwa a "basket of cake" wengine hatujui na hatuelewi kingreza tunaoma utfafanulie una maanisha Tanzania itakuwa nini????
 
Kama utafiti wa kisayansi unachukua miezi miwili tu kutoa majibu ya uhakika hilo ni ajabu la nane ulimwenguni. Kwanza hakukuwa na sababu ya utafiti, tatizo linajulikana wazi toka 1998. Ni MIKATABA, MIKATABA NA NI MIKATABA period. To try to solve the problem of the moment by proposing a solution of non existent problem is no solution at all.
 
Punguza jazba broo, composure
Hamna mkuu huo ndo ukweli.....ccm wanapiga tu makofi bungeni, bajeti zingine wanapitisha kwa kuhongwa. Zingine wanaitwa na chama kupewa msimamo wkt wanajua kuwa ni sheria za hovyo na za uongo...
KWA NN WATZ WASIWWE NA JAZBA NA HILI CHAMA LA MAJIZI?
 
Kwahiyo yaendelee kukubali hata kama anajua alifanya kosa?
 
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Wewe ni pumba kabisa umepigwa upofu wa macho
 
Ndio maana ccm tunaonekana ka maboya, Lowasa aliikuwa kwetu MSAFI, kaenda opposition mbaya, basi si kafungue kesi mahakama ya mafisadi? Kina yakhe hawana cha kupoteza ila ni kweli ccm ndio iliyotufiksha hapa, hatuchomoi.
ugumu wa maisha ni kipimo cha akili, hacha kulalamika kama lissu
 
Nakuuliza tena umemjua lissu lini?
Mie nimeanza kumjua tangu 1990s kwenye harakat zake za.kutetea watu huko migodini.Isije ikawa umemjulia Chadema mzee?Kuwa wazi tu
hoja si kumjua lissuu. hoja lissu ni mnafiki tangu kuzaliwa ndo maana Rais mkapa alitaka amkamate, akakimbia nchi, akarudi akaingia chadomo, mnafiki sanaa, mfuatilie vizuri
 
Chamilo nicholous sijui we ulikuwa wapi muda huo.mimi nafikiri uliungana na maccm wenzio kutuambia haya madini yatayunufaisha wabongo wakati mkijua niuongo.shem on you
 
hoja si kumjua lissuu. hoja lissu ni mnafiki tangu kuzaliwa ndo maana Rais mkapa alitaka amkamate, akakimbia nchi, akarudi akaingia chadomo, mnafiki sanaa, mfuatilie vizuri
Unamsifia NKAPA alotufikisha hapa ambapo JPM analia?
 
Waliotuletea majanga ni CCM na wanaojifanya kukabiliana nayo ni haohao,tusubiri kunyolewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…