Acha hasira, jibu hojaUongo mkubwa huo!!!Kwa agenda hizo za kizamani hapati Kura ya mtumishi yeyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hasira, jibu hojaUongo mkubwa huo!!!Kwa agenda hizo za kizamani hapati Kura ya mtumishi yeyote
Tazama ulivyo na wivu wa kike, sasa sheria zilitungwa kwanini?Mlizoea kupiga pesa za serikali mamfikili ninyi ndo wajanja sana?
Sisi tunatozwa kodi kwa ajili ya maendeleo lakini nyie binafsi ndo mnaendelea wananchi tunabaki na shida.
Jengeni nchi kwanza
Kama mnajua ni za lazima mbona hamjaenda mahakamani?Tazama ulivyo na wivu wa kike, sasa sheria zilitungwa kwanini?
Hapa tunazungumza stahiki za kisheria, zilizoidhinishwa na kutekelezwa kwa miaka yote isipokuwa awamu hii
Hapo unajijuta kufurahia wenzako kukomolewa, wakulima wa korosho nao walizoea kupiga nini?
Ujinga mwingine huu, unaijua katiba ya nchi yako?Kama mnajua ni za lazima mbona hamjaenda mahakamani?
Hayo yote ni kutaka kuonekana kwamba amesema kitu. Wote tunafahamu kabla ya 2015 wafanyakazi wa serikali walikuwa wanakaa miezi bila kulipwa mshahara. Siyo kwamba mshahara umecheleweshwa bali hulipwi kabisa kwa miezi kadhaa. Waalimu walikuwa kati ya waathirika wakuu. JPM alipoingia madarakani alikomesha hilo, akalipa malimbikizo yote ya wafanyakazi waliokuwa hawajalipwa, na hivi sasa mfanyakazi wa UMMA analipwa siku husika bila kucheleweshwa. Ni wazi hii ilikuwa kazi nzito na mtu mwenye akili timamu hatashindwa kuelewa kusuasua kwa upandaji wa vyeo. Si hivyo tu; elimu imekuwa bure mpaka Kidato cha Nne. Hilo nalo ni gharama kwa serikali. Kuzungumzia kupanda cheo baada ya kuona yaliyofanyika kuhusu watumishi wa Umma ni ubinafsi.Tundu Lissu anasema atalipa malimbikizo yote ya mishahara na kupandisha vyeo vyote vilivyosimama toka mwaka 2015 mpaka leo 2020.
Anasema lazima wafanyakazi walipwe fidia na Serikali yake.
Anasema atawalipa pia fidia wote waliofukuzwa kazi na Serikali ya CCM ndani ya hii miaka 5.
Anasema atarudisha makato ya loan board kutoka 15% na kuwa 3%
Na yatakuwa kwa wale tu watakao kuwa na kazi za kueleweka ndani ya serikali yake.
Anasema atafumua mfumo wa elimu ili utoke kwenye kujibu mithihani na kuwa elimu ya maarifa na kujitegemea na kuajirika kirahisi.
Anasema ataifumua TRA na kuanzisha mfumo wa Kodi moja ili nchi zote zilizo tuzunguka zije kununua bidhaa bandarini na kwenye maduka yetu ya ndani.
View attachment 1552154View attachment 1552155
CCM wamepiga pesa za SGR mpaka ujenzi unanda kusimama huku CAG hajawahi kukagua mahesabu ya CCM maana yamejaa wizi mwingi itokee siku apite huko wataenda kukanatwa mpaka wastaafu akina kinana makamba Nape na wenzao.Chadema ina mfumo wa kupiga pesa ndiyo maana wamepiga hata pesa za wabunge wao walizochanga kwa ajili ya uchaguzi sasa wamebaki kuomba pesa kwa watz wanaohudhuria mkutanoni. Mimi leo niligoma kuchanga eti Faru John anatufundisha jinsi ya kutuma pesa toka Mpesa kwenda kwenye akaunti yao ya CDM2020 anataka azipige tena kama alivyozipiga za wabunge wao. Lissu rekebisha mfumo wa kipigaji kwa Saccos ya Chadema kama kweli uko serious!
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa Upumbavu wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberuTuliza kichwa, Chato ni tanzania.
Unaweza kutembea bila bughudha huko chato na sio kwa mabeberu
Story ndefu isiyo na point hata moja inaelekea wewe ni mnufaika wa mfumo kandamizi ndiyo maana umejitoa fahamu kutetea udhalimu wa Serikali yako ya kishetani kidikteta na uonevu.Hayo yote ni kutaka kuonekana kwamba amesema kitu. Wote tunafahamu kabla ya 2015 wafanyakazi wa serikali walikuwa wanakaa miezi bila kulipwa mshahara. Siyo kwamba mshahara umecheleweshwa bali hulipwi kabisa kwa miezi kadhaa. Waalimu walikuwa kati ya waathirika wakuu. JPM alipoingia madarakani alikomesha hilo, akalipa malimbikizo yote ya wafanyakazi waliokuwa hawajalipwa, na hivi sasa mfanyakazi wa UMMA analipwa siku husika bila kucheleweshwa. Ni wazi hii ilikuwa kazi nzito na mtu mwenye akili timamu hatashindwa kuelewa kusuasua kwa upandaji wa vyeo. Si hivyo tu; elimu imekuwa bure mpaka Kidato cha Nne. Hilo nalo ni gharama kwa serikali. Kuzungumzia kupanda cheo baada ya kuona yaliyofanyika kuhusu watumishi wa Umma ni ubinafsi.
Kuhusu kulipa fidia kwa waliofukuzwa kazi, haiingii maanani. Unafukuzwa kazi kwa kuwa ni mhalifu na kuna sheria zinazo elekeza jinsi ya kufanya hilo.. Sasa unataka kiki kwa wahalifu? Kama kuna aliyeonewa kwa kufukuzwa isivyo kihalali, hilo ni jambo jingine ambalo mhusika anapaswa kwenda kwenye Mahakama ya Kazi. Tusitafute kiki kwa wahalifu.
Na wewe unajiona umeongea point hatari?Hayo yote ni kutaka kuonekana kwamba amesema kitu. Wote tunafahamu kabla ya 2015 wafanyakazi wa serikali walikuwa wanakaa miezi bila kulipwa mshahara. Siyo kwamba mshahara umecheleweshwa bali hulipwi kabisa kwa miezi kadhaa. Waalimu walikuwa kati ya waathirika wakuu. JPM alipoingia madarakani alikomesha hilo, akalipa malimbikizo yote ya wafanyakazi waliokuwa hawajalipwa, na hivi sasa mfanyakazi wa UMMA analipwa siku husika bila kucheleweshwa. Ni wazi hii ilikuwa kazi nzito na mtu mwenye akili timamu hatashindwa kuelewa kusuasua kwa upandaji wa vyeo. Si hivyo tu; elimu imekuwa bure mpaka Kidato cha Nne. Hilo nalo ni gharama kwa serikali. Kuzungumzia kupanda cheo baada ya kuona yaliyofanyika kuhusu watumishi wa Umma ni ubinafsi.
Kuhusu kulipa fidia kwa waliofukuzwa kazi, haiingii maanani. Unafukuzwa kazi kwa kuwa ni mhalifu na kuna sheria zinazo elekeza jinsi ya kufanya hilo.. Sasa unataka kiki kwa wahalifu? Kama kuna aliyeonewa kwa kufukuzwa isivyo kihalali, hilo ni jambo jingine ambalo mhusika anapaswa kwenda kwenye Mahakama ya Kazi. Tusitafute kiki kwa wahalifu.
Shituka Kataa Kudanganywa!Tundu Lissu anasema atalipa malimbikizo yote ya mishahara na kupandisha vyeo vyote vilivyosimama toka mwaka 2015 mpaka leo 2020.
Anasema lazima wafanyakazi walipwe fidia na Serikali yake.
Anasema atawalipa pia fidia wote waliofukuzwa kazi na Serikali ya CCM ndani ya hii miaka 5.
Anasema atarudisha makato ya loan board kutoka 15% na kuwa 3%
Na yatakuwa kwa wale tu watakao kuwa na kazi za kueleweka ndani ya serikali yake.
Anasema atafumua mfumo wa elimu ili utoke kwenye kujibu mithihani na kuwa elimu ya maarifa na kujitegemea na kuajirika kirahisi.
Anasema ataifumua TRA na kuanzisha mfumo wa Kodi moja ili nchi zote zilizo tuzunguka zije kununua bidhaa bandarini na kwenye maduka yetu ya ndani.
View attachment 1552154View attachment 1552155
Tatizo la CCM wamempa Tenda cyprian Musiba na Le mutuz kuandaa watetezi wao Mitandaoni ambao kwa 99% wanakaririshwa ufala wa cyprian Musiba ndiyo maana utetezi wa CCM mitandaoni hufanana.Na wewe unajiona umeongea point hatari?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kabla ya 2015 hakuna mtu alikuwa halipwi mshahara wake, hakuna!
Mzee JK pamoja na madhaifu yake machache, lakini HAKUWAHI kuwa katili kwa viwango vya baada ya 2015!
Mzee wangu amestaafu tangu mwaka Jana August 2, mpaka leo bado hajapewa pesa zake, afu unakuja kuropoka ropoka hapa!
Maendeleo siyo Hisani za CCM maendeleo siyo pesa binafsi tokea mfukoni wa mtukufu malaika tokea chato, maendeleo ni pesa za watanzania wasio na vyama na watanzania wasio wapenzi wa CCM, pesa ya walipa kodi inafujwa na CCM kupitia ufisadi mwingi kwenye miradi wakati CCM wengi siyo walipa kodi.
Wewe acha uongo malimbikizo gani Magufuli alikuta hayajalipwa na yeye kuyalipa?Hayo yote ni kutaka kuonekana kwamba amesema kitu. Wote tunafahamu kabla ya 2015 wafanyakazi wa serikali walikuwa wanakaa miezi bila kulipwa mshahara. Siyo kwamba mshahara umecheleweshwa bali hulipwi kabisa kwa miezi kadhaa. Waalimu walikuwa kati ya waathirika wakuu. JPM alipoingia madarakani alikomesha hilo, akalipa malimbikizo yote ya wafanyakazi waliokuwa hawajalipwa, na hivi sasa mfanyakazi wa UMMA analipwa siku husika bila kucheleweshwa. Ni wazi hii ilikuwa kazi nzito na mtu mwenye akili timamu hatashindwa kuelewa kusuasua kwa upandaji wa vyeo. Si hivyo tu; elimu imekuwa bure mpaka Kidato cha Nne. Hilo nalo ni gharama kwa serikali. Kuzungumzia kupanda cheo baada ya kuona yaliyofanyika kuhusu watumishi wa Umma ni ubinafsi.
Kuhusu kulipa fidia kwa waliofukuzwa kazi, haiingii maanani. Unafukuzwa kazi kwa kuwa ni mhalifu na kuna sheria zinazo elekeza jinsi ya kufanya hilo.. Sasa unataka kiki kwa wahalifu? Kama kuna aliyeonewa kwa kufukuzwa isivyo kihalali, hilo ni jambo jingine ambalo mhusika anapaswa kwenda kwenye Mahakama ya Kazi. Tusitafute kiki kwa wahalifu.
Kama wewe ni mwanachama makini wa ccm usijibu hoja kwa ushambenga na mipasho, jibu hoja kwa hoja.
Sasa hapa ndio tusikie sera ambazo zinamgusa mwananchi na uchumi wake
Lissu amefanya vizuri.
Angalau leo Sera za Chadema zinanishawishi kitu. Ni mambo yanayomgusa mwananchi moja kwa moja