Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Nilipokuwa shule ya bweni niliwaomba wanichague kuwa kiongozi wa bweni kwa ahadi ya kujenga bomba la uji kutoka jikoni mpaka bwenini. Walinichagua ila mpaka Leo wanasubiri hilo bomba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mtumishi?Uongo mkubwa huo!!!Kwa agenda hizo za kizamani hapati Kura ya mtumishi yeyote
la kuwapa watanzania wote bima ya afya ni ngumu lakini hata CCM imejiwekea malengo ya kutoa bima ya afya kwa watanzania wote, hiyo nyingine ni social security welfare scheme huitwa unemployed benefit, kuwaidia watu wazee na wasiokuwa na ajira, shida iko wapi?? . Nchi kadhaa hutoa unemployment benefits, siyo kubwa kama mshahara lakini husaidia mtu ili aweze kujikukimu huku akitafuta kazi, sheria mpya ya Mifugo ya Jamii ina fao hili kwa mtu aliyeachishwa kazini, sasa ni kipi hakiwezekani?Tundu Lisu hajui cho chote zaidi ya sheria.
Amesema eti atawapa watanzania wote bima ya NHIF na kwamba bima hiyo itawalipa mishahara na marupurupu mazuri watumishi wote wa afya wakiwemo madaktari na manesi! Yeye na chama chake are very ignorant. Hawajui NHIF ni kitu gani.
Lisu anafikiri kukusanya kodi ni rahisi? Labda hizo fedha za kulipa malimbikizo aletewe kwa Tigo pesa toka Belgium
Mkuu acha kumwita Mh raisi ni muongo, wewe ile Noah yako hujaipata?Huu ni utapeli wa mchana mchana. Kwanini wanasiasa wanakua waongo? Magufuli alidanganya milioni 50 kila kijiji na laptop leo Lissu naye kaona mwenzske alidanganya na yeye anatumia gear ileile na watu wanaamini. Mkapime akili kwanza
Tundu Lissu anasema atalipa malimbikizo yote ya mishahara na kupandisha vyeo vyote vilivyosimama toka mwaka 2015 mpaka leo 2020.
Anasema lazima wafanyakazi walipwe fidia na Serikali yake.
Anasema atawalipa pia fidia wote waliofukuzwa kazi na Serikali ya CCM ndani ya hii miaka 5.
Anasema atarudisha makato ya loan board kutoka 15% na kuwa 3%
Na yatakuwa kwa wale tu watakao kuwa na kazi za kueleweka ndani ya serikali yake.
Anasema atafumua mfumo wa elimu ili utoke kwenye kujibu mithihani na kuwa elimu ya maarifa na kujitegemea na kuajirika kirahisi.
Anasema ataifumua TRA na kuanzisha mfumo wa Kodi moja ili nchi zote zilizo tuzunguka zije kununua bidhaa bandarini na kwenye maduka yetu ya ndani.
View attachment 1552154View attachment 1552155
Ukijiajiri ndiyo unakutana na changamoto hizi ila wale waliyokaa tuu wanategemea salary tuu watakubezaUkweli TRA ni jipuuu.. kila siku nakosa usingizi na kufurahia maisha ya kujiajiri kwa ajiri hawa TRA.. nimejikuta nimekata tamaa na kuacha kabisa kuwalipa kodi, nasubiri waje wafanye wanachotaka kufanya haiwezekani niwafanyie kazi wao 😢😢
Ishu siyo watumishi wa umma ishu ni Tume ya uchaguzi tuu ndiyo shida hata akishinda hawezi kutangazwaHaya Sasa kazi kwenu watumishi wa Umma kamchagueni Lissu awalipe malimbikizo ya pesa zenu.
Wakilipwa hao wataongeza mzunguko wa pesa katika uchumi hivyo kama wewe unauza duka la nguo, au chakula au vileo basi mauzo yako yatapanda maradufu kuliko sasa, utaongeza wafanyakazi badala ya kuwapunguza na utaweza kulipa ada za shule za wanao bila kusubiri kuandikiwa barua za kukumbushwa kila siku kama vile hujui wajibu wako kumbe tatizo ni pesa. Tofauti na matumiz pia wengine watawekeza kusudi na wewe upate huduma za jamii kwa unafuuMi sina hata ndugu mfanyakazi nutafaidikaje
Mtu alie ajiliwa mwisho wa mwezi anakinga mikono tu. Hivi vitu hawezi kuvielewa. Ila wanakuja kuona tofauti ya maisha yao na yetu.. na wanaishia kusema tunatoa watu kafaraUkijiajiri ndiyo unakutana na changamoto hizi ila wale waliyokaa tuu wanategemea salary tuu watakubeza
Huyu ndiye Rais tunaye mtaka anayejali wananchi wake.Tundu Lissu anasema atalipa malimbikizo yote ya mishahara na kupandisha vyeo vyote vilivyosimama toka mwaka 2015 mpaka leo 2020.
Anasema lazima wafanyakazi walipwe fidia na Serikali yake.
Anasema atawalipa pia fidia wote waliofukuzwa kazi na Serikali ya CCM ndani ya hii miaka 5.
Anasema atarudisha makato ya loan board kutoka 15% na kuwa 3%
Na yatakuwa kwa wale tu watakao kuwa na kazi za kueleweka ndani ya serikali yake.
Anasema atafumua mfumo wa elimu ili utoke kwenye kujibu mithihani na kuwa elimu ya maarifa na kujitegemea na kuajirika kirahisi.
Anasema ataifumua TRA na kuanzisha mfumo wa Kodi moja ili nchi zote zilizo tuzunguka zije kununua bidhaa bandarini na kwenye maduka yetu ya ndani.
View attachment 1552154View attachment 1552155
Kuivunja sio kuiondoa ni kuisuka upya ilete tija ktk utendaji wake.Huyu anataka turudi kwenye uchumi tegemezi.
Atatoa wapi hela endapo anaivunja TRA?
Haelezei atainuaje uchumi wa nchi bali anaelezea atakavyoharibu mifumo mizuri iliyojengwa
Sio leo tu na bado tunaendeleaAngalau leo Sera za Chadema zinanishawishi kitu. Ni mambo yanayomgusa mwananchi moja kwa moja
Tundu Lissu anasema atalipa malimbikizo yote ya mishahara na kupandisha vyeo vyote vilivyosimama toka mwaka 2015 mpaka leo 2020.
Anasema lazima wafanyakazi walipwe fidia na Serikali yake.
Anasema atawalipa pia fidia wote waliofukuzwa kazi na Serikali ya CCM ndani ya hii miaka 5.
Anasema atarudisha makato ya loan board kutoka 15% na kuwa 3%
Na yatakuwa kwa wale tu watakao kuwa na kazi za kueleweka ndani ya serikali yake.
Anasema atafumua mfumo wa elimu ili utoke kwenye kujibu mithihani na kuwa elimu ya maarifa na kujitegemea na kuajirika kirahisi.
Anasema ataifumua TRA na kuanzisha mfumo wa Kodi moja ili nchi zote zilizo tuzunguka zije kununua bidhaa bandarini na kwenye maduka yetu ya ndani.
View attachment 1552154View attachment 1552155
Ukweli TRA ni jipuuu.. kila siku nakosa usingizi na kufurahia maisha ya kujiajiri kwa ajiri hawa TRA.. nimejikuta nimekata tamaa na kuacha kabisa kuwalipa kodi, nasubiri waje wafanye wanachotaka kufanya haiwezekani niwafanyie kazi wao 😢😢
Hapo kwenye bodi ya mikopo mambo yatakuwa BambamTundu Lissu anasema atalipa malimbikizo yote ya mishahara na kupandisha vyeo vyote vilivyosimama toka mwaka 2015 mpaka leo 2020.
Anasema lazima wafanyakazi walipwe fidia na Serikali yake.
Anasema atawalipa pia fidia wote waliofukuzwa kazi na Serikali ya CCM ndani ya hii miaka 5.
Anasema atarudisha makato ya loan board kutoka 15% na kuwa 3%
Na yatakuwa kwa wale tu watakao kuwa na kazi za kueleweka ndani ya serikali yake.
Anasema atafumua mfumo wa elimu ili utoke kwenye kujibu mithihani na kuwa elimu ya maarifa na kujitegemea na kuajirika kirahisi.
Anasema ataifumua TRA na kuanzisha mfumo wa Kodi moja ili nchi zote zilizo tuzunguka zije kununua bidhaa bandarini na kwenye maduka yetu ya ndani.
View attachment 1552154View attachment 1552155
Kalipa nini au ndio mnadanganywa, increment tu kaziHahahaaa malimbikizo gani wakati rais amesema ameshalipa hayo madeni kwa wafanyakazi?
Au anadhani hii ni 2015?
Uongo mkubwa huo!!!Kwa agenda hizo za kizamani hapati Kura ya mtumishi yeyote