Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ameshindwa kubadili mfumo wa Chadema ataweza mfumo wa Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ameshindwa kubadili mfumo wa Chadema ataweza mfumo wa Tanzania?
Njia rahisi ya kushinda uchaguzi ni watenganishe maadui wa mpinzani wako na kuwaleta kwakoTundu Lissu anasema atalipa malimbikizo yote ya mishahara na kupandisha vyeo vyote vilivyosimama toka mwaka 2015 mpaka leo 2020.
Anasema lazima wafanyakazi walipwe fidia na Serikali yake.
Anasema atawalipa pia fidia wote waliofukuzwa kazi na Serikali ya CCM ndani ya hii miaka 5.
Anasema atarudisha makato ya loan board kutoka 15% na kuwa 3%
Na yatakuwa kwa wale tu watakao kuwa na kazi za kueleweka ndani ya serikali yake.
Anasema atafumua mfumo wa elimu ili utoke kwenye kujibu mithihani na kuwa elimu ya maarifa na kujitegemea na kuajirika kirahisi.
Anasema ataifumua TRA na kuanzisha mfumo wa Kodi moja ili nchi zote zilizo tuzunguka zije kununua bidhaa bandarini na kwenye maduka yetu ya ndani.
View attachment 1552154View attachment 1552155
Kwa gharama ipi ?? Na nini matokeo yake au madhara yakeHaya Sasa kazi kwenu watumishi wa Umma kamchagueni Lissu awalipe malimbikizo ya pesa zenu.
Lisu anafikiri kukusanya kodi ni rahisi? Labda hizo fedha za kulipa malimbikizo aletewe kwa Tigo pesa toka BelgiumTundu Lissu anasema atalipa malimbikizo yote ya mishahara na kupandisha vyeo vyote vilivyosimama toka mwaka 2015 mpaka leo 2020.
Anasema lazima wafanyakazi walipwe fidia na Serikali yake.
Anasema atawalipa pia fidia wote waliofukuzwa kazi na Serikali ya CCM ndani ya hii miaka 5.
Anasema atarudisha makato ya loan board kutoka 15% na kuwa 3%
Na yatakuwa kwa wale tu watakao kuwa na kazi za kueleweka ndani ya serikali yake.
Anasema atafumua mfumo wa elimu ili utoke kwenye kujibu mithihani na kuwa elimu ya maarifa na kujitegemea na kuajirika kirahisi.
Anasema ataifumua TRA na kuanzisha mfumo wa Kodi moja ili nchi zote zilizo tuzunguka zije kununua bidhaa bandarini na kwenye maduka yetu ya ndani.
View attachment 1552154View attachment 1552155
Kwa sababu mlishakubali kuendelea kuwa masikiniMimi familia yangu tutamchagua Magufuli
Umesha anza kuweweseka,Mimi hapa Ni mtumishi wewe umesema hapati kura ya mtumishi yeyoye.Uongo mkubwa huo!!!Kwa agenda hizo za kizamani hapati Kura ya mtumishi yeyote
Huu ni utapeli wa mchana mchana. Kwanini wanasiasa wanakua waongo? Magufuli alidanganya milioni 50 kila kijiji na laptop leo Lissu naye kaona mwenzske alidanganya na yeye anatumia gear ileile na watu wanaamini. Mkapime akili kwanzaTundu Lissu anasema atalipa malimbikizo yote ya mishahara na kupandisha vyeo vyote vilivyosimama toka mwaka 2015 mpaka leo 2020.
Anasema lazima wafanyakazi walipwe fidia na Serikali yake.
Anasema atawalipa pia fidia wote waliofukuzwa kazi na Serikali ya CCM ndani ya hii miaka 5.
Anasema atarudisha makato ya loan board kutoka 15% na kuwa 3%
Na yatakuwa kwa wale tu watakao kuwa na kazi za kueleweka ndani ya serikali yake.
Anasema atafumua mfumo wa elimu ili utoke kwenye kujibu mithihani na kuwa elimu ya maarifa na kujitegemea na kuajirika kirahisi.
Anasema ataifumua TRA na kuanzisha mfumo wa Kodi moja ili nchi zote zilizo tuzunguka zije kununua bidhaa bandarini na kwenye maduka yetu ya ndani.
View attachment 1552154View attachment 1552155
Dah...wewe vipi baba? Serikali ndiyo inayochapisha pesa.....na yeye ndiyo atakuwa Rais...ondoa wasiwasi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu anataka turudi kwenye uchumi tegemezi.
Atatoa wapi hela endapo anaivunja TRA?
Haelezei atainuaje uchumi wa nchi bali anaelezea atakavyoharibu mifumo mizuri iliyojengwa
Uza nchi yako, Chagua Lissu
Nimecheka sana mkuu, nisamehe tafadhari.Kwa gharama ipi ?? Na nini matokeo yake au madhara yake
Retype!!Kwa hiyo watumishi wampe huyo aliwaminya haki zao kwa miaka 5? Magufuli ana lipi jema kwa watumishi? Watumishi pekee wanaomuona wa maana ni Dotto James na familia yake.
Nisamehe bure mkuu, mimi nilikuwa nawahimiza tu hao watumishi Kama wataweza kumuweka Lissu madarakani awalipe malimbikizo ya madai yaoSIO VILAZA KAMA UNAVYOJIFIKIRIA, URAIS NI ZAIDI DHANA ULIYONAYO. MTAWAPATA WACHACHE WENYE UFIKIRI MDOGO KSMA NYIE.POLENI SANS
Naona pia kijazi&the family awamu hii wamebarikiwa sana aisee.Kwa hiyo watumishi wampe huyo aliwaminya haki zao kwa miaka 5? Magufuli ana lipi jema kwa watumishi? Watumishi pekee wanaomuona wa maana ni Dotto James na familia yake.
Risasi sio kitu cha kawwida.Sasa aya ndio tulitaka kisikia...sasa me mkulima wa kijijini unaanza niambia mambo ya risasi kiunoni.
Serikali ndio nyonge, ila sio wananchi wake. Ukishajiweka wazi ndio wanakunyonga kabisa,Unakwama wapi ndugu,sema hapa wazi wamefanya vp ili Serikali ya wanyonge ikusaidie!!!
Pole sana kiongozi, TRA inarudisha sana nyuma wafanya biashra. Sio chachu kabisa ya mendeleo kwa wafanya biashara. Na wanao umia ni wafanya biashara wadogo, wale wakubwa wana mbinu nyingi sana za kuwakwepa hawa watuTupo pamoja ndugu biashara mtaji wa 1million kwa mwaka kodi 500000 mwaka wa pil huu nawasubir waamue wanachotaka biashara hiyo hiyo mwingine anamtaji wa 5m tulipe sawa huu umama huu