heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Mi sina hata ndugu mfanyakazi nutafaidikaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa taarifa yako na wengine wenye kuamini kila linalosemwa na serikali hii no kuwa wapo wafanyakazi wanadai nauli za likizo tangu 2015 Hadi Sasa na wengine malimbikizo ya mishahara baada ya kupanda madaraja tangu 2016 Hadi Leo hawajalipwa. Reference wengi wao ni walimu! Wadodose walimu watakimbia ukweli!Hahahaaa malimbikizo gani wakati raisi amesema ameshalipa hayo madeni kwa wafanyakazi?
Au anadhani hii ni 2015?
Sasa aya ndio tulitaka kisikia...sasa me mkulima wa kijijini unaanza niambia mambo ya risasi kiunoni.
Kwa nini? Unataka watumishi waendelee kunyonywa na CCM?Uongo mkubwa huo!!!Kwa agenda hizo za kizamani hapati Kura ya mtumishi yeyote
Mnaweza kufa kwa vidonda vya tumbo aisee.Sikiliza vizuri ..kwani tangu enzi za Nyerere TRA ilikuwepo?
Lissu kasema kuivunja na kuitengeneza upya yaani kuifumua basi...TULIENI JAMANI
Utafaidika kwa kuongezeka kwa pacharsing power ya watu wengine automatic na wewe utauza bidhaa zako.Mi sina hata ndugu mfanyakazi nutafaidikaje
Hahahaaa malimbikizo gani wakati rais amesema ameshalipa hayo madeni kwa wafanyakazi?
Au anadhani hii ni 2015?
Una akili matope! Propaganda kama za ka ********!Uza nchi yako, Chagua Lissu
Kwahiyo akisema amelipa bx inakuwa kweli km ww Co mfanyakazi huwezi kujua ukweli wanaoteseka ni wafnyakazi ndo wanajua hilo Hivyo funga domo lakoHahahaaa malimbikizo gani wakati rais amesema ameshalipa hayo madeni kwa wafanyakazi?
Au anadhani hii ni 2015?
Kwa hiyo watumishi wampe huyo aliwaminya haki zao kwa miaka 5? Magufuli ana lipi jema kwa watumishi? Watumishi pekee wanaomuona wa maana ni Dotto James na familia yake.Haya Sasa kazi kwenu watumishi wa Umma kamchagueni Lissu awalipe malimbikizo ya pesa zenu.
Amelipa lini? Mbona mimi sijalipwaHahahaaa malimbikizo gani wakati rais amesema ameshalipa hayo madeni kwa wafanyakazi?
Au anadhani hii ni 2015?