Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uza nchi yako, Chagua Lissu
Hahahaaa malimbikizo gani wakati rais amesema ameshalipa hayo madeni kwa wafanyakazi?
Au anadhani hii ni 2015?
Uongo mkubwa huo!!!Kwa agenda hizo za kizamani hapati Kura ya mtumishi yeyote
Huyu anataka turudi kwenye uchumi tegemezi.
Atatoa wapi hela endapo anaivunja TRA?
Haelezei atainuaje uchumi wa nchi bali anaelezea atakavyoharibu mifumo mizuri iliyojengwa
Mimi familia yangu tutamchagua Magufuli
HayaMimi familia yangu tutamchagua Magufuli
Wewe hujui serikali inaendeshwaje ndiyo maana unafikiri ni kirahisi hivyo eti atawalipa malimbikizo ya wafanyakazi kwa miaka mitano!! Naona hayo maturubai aliyovaa yanampunguzia akili kichwani. Akawadanganye wanafunzi wa chekechea!!Hii maada ni ngumu kwako, shida umesoma kujibu mitihani na hapa hakuna mtihani, hapa unatakiwa kutumia akili yako kitu ambacho wewe huna
Anaongea upupu tu!! Malimbikizo ya wafanyakazi kwa miaka mitano. Asifikiri wafanyakazi hawajitambui kiasi hicho ajue wako serikalini wanajua pesa zinapatikana vipi.Sasa Lissu anaongea ....
Nimasuala mazito sana kwa Lissu na Chadema yake. Blah blah mwanzo mwisho! Chadema kweli sasa kitakuwa chama shiriki bungeni inavyoelekea. Sasa ngoja nifuatilie ACT...nijue kama nao wana lolote lakutuambia sisi wapiga kura.Huyu anataka turudi kwenye uchumi tegemezi.
Atatoa wapi hela endapo anaivunja TRA?
Haelezei atainuaje uchumi wa nchi bali anaelezea atakavyoharibu mifumo mizuri iliyojengwa
Hatudanganyiki kirahisi hivyo. Tuko serikalini tunajua pesa za serikali zinapatikana vipi.Wafanyakazi wa umma mshindwe wenyewe.oct 28.fanyeni kweli
Jamaa Hana lolote analolijua kuhusu uchumi.Huyu anataka turudi kwenye uchumi tegemezi.
Atatoa wapi hela endapo anaivunja TRA?
Haelezei atainuaje uchumi wa nchi bali anaelezea atakavyoharibu mifumo mizuri iliyojengwa
Tupo pamoja ndugu biashara mtaji wa 1million kwa mwaka kodi 500000 mwaka wa pil huu nawasubir waamue wanachotaka biashara hiyo hiyo mwingine anamtaji wa 5m tulipe sawa huu umama huuUkweli TRA ni jipuuu.. kila siku nakosa usingizi na kufurahia maisha ya kujiajiri kwa ajiri hawa TRA.. nimejikuta nimekata tamaa na kuacha kabisa kuwalipa kodi, nasubiri waje wafanye wanachotaka kufanya haiwezekani niwafanyie kazi wao [emoji22][emoji22]
Wangelimchukua Zitto awasaidie kujenga hata hoja za uongo za uchumiNimasuala mazito sana kwa Lissu na Chadema yake. Blah blah mwanzo mwisho! Chadema kweli sasa kitakuwa chama shiriki bungeni inavyoelekea. Sasa ngoja nifuatilie ACT...nijue kama nao wana lolote lakutuambia sisi wapiga kura.
Wewe mwenye akili fafanua how atafanya yote hayoHii maada ni ngumu kwako, shida umesoma kujibu mitihani na hapa hakuna mtihani, hapa unatakiwa kutumia akili yako kitu ambacho wewe huna