kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Watoe tu..sisi masikio yetu ni kwa Lissu tukesho utaona na Magufuli ataongea ili kuzima habar za lisu au kutakuwa na bonge la kiki kutoka kwa wasanii wa CCM na msije kushangaa Amber Rutty, Diamond Platnumz na Kiba Wametoa Pornvideo Yao.
Umeulizwa zile risasi 32 mlitaka kumuua kichaa?Like their leader like the followers they are all all mentally unfit how could you support a qualified schizophrenic patients traumatized
Ndio màana paskol mayala anakuogopa Sana umemfanya adharaulike.Watashindana lakini hawatashinda
Jr[emoji769]
Hana jipya hakuna mtu mwenye akili zake timamu atakae poteza muda kumsikiza atawapata misukule ya ufipa tuChema chajiuza kibaya chajitembeza.
Acha nature ichukue nafasi yake,kama yupo smart enough hivyo mnavyotuaminisha atavuma tu bila hizo promo mlizokomalia toka asubuhi.Else mtakuwa kama mnalazimisha waTz wamwangalie.
Kesho sio mbali tuwe waungwana tumsikilize kwa amani na upendo wa hali ya juu sanaHana jipya hakuna mtu mwenye akili zake timamu atakae poteza muda kumsikiza atawapata misukule ya ufipa tu
Nani katoa hilo onyo?Tushatoa onyo,marufuku kusambaza hiyo hotuba.
Kesi ya uchochezi utakutana nayo.
Ataongelea kumkamata Lissu akitua Dar-es-salaamNgoja tusubiri lakini mkumbuke Makonda kesho anaongea na vyombo vya habari
Makonda anatangaza rasmi kuhamia ccmNgoja tusubiri lakini mkumbuke Makonda kesho anaongea na vyombo vya habari