Malimi Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,287
- 2,743
- Thread starter
- #21
Hata jiwe hana na ndiyo mtoto pendwa alipigwa spana alipojaribu kudili na mashoga.Umesahau nusu hana marinda
Mahiga( RIP) na Lugola wakakaa mbele ya kamera na tv wakisema huo haukuwa msimamo wa serikali bali makonda kama makonda na si makonda kama mkuu wa mkoa.
Na wakaihakikishia dunia kuwa haki za faragha zitalinda kwa nguvu zote na serikali ya awamu ya 5, ambayo masaa machache yajayo watakuwa raia wa kawaida kama mimi.