Uchaguzi 2020 Tundu Lissu; Nusu Mtu, Nusu Chuma

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu; Nusu Mtu, Nusu Chuma

Umesahau nusu hana marinda
Hata jiwe hana na ndiyo mtoto pendwa alipigwa spana alipojaribu kudili na mashoga.

Mahiga( RIP) na Lugola wakakaa mbele ya kamera na tv wakisema huo haukuwa msimamo wa serikali bali makonda kama makonda na si makonda kama mkuu wa mkoa.

Na wakaihakikishia dunia kuwa haki za faragha zitalinda kwa nguvu zote na serikali ya awamu ya 5, ambayo masaa machache yajayo watakuwa raia wa kawaida kama mimi.
 
Hata jiwe hana na ndiyo mtoto pendwa alipigwa spana alipojaribu kudili na mashoga.

Mahiga( RIP) na Lugola wakakaa mbele ya kamera na tv wakisema huo haukuwa msimamo wa serikali bali makonda kama makonda na si makonda kama mkuu wa mkoa. Na wakaihakikishia dunia kuwa haki za faragha zitalinda kwa nguvu zote na serikali ya awamu ya 5, ambayo masaa machache yajayo watakuwa raia wa kawaida kama mimi.
Masaa machache what?
 
Nyie upinzani, msitushirikishe kwenye upumbavu wenu
 
The hague inatakana watu wafe kwanza ndio itakaa kusikiliza kesi la sivyo iyo kesi haina faida kwao

Jitoe muhanga uvunje sheria za Nchi mtandikwe risasi ndio kidogo mtaweza kusikilizwa
Rais Uhuru Kenyata wa kenya anehudhuria mara kadhaa kujibu mashtaka huko ICC akiwa tayari ni Rais wa Wakenya. Sasa mnashindwa kumkamata mtu ambaye hana hata cheo cha ubalozi wa nyumba 10 katika nchi hii. Huoni kwamba unachozungumza ni siasa za majitaka
 
Masaa machache what?
Masaa machache yajayo ataenda kuchunga ngamia wake chattle!!

Sisi Watanzania ndio tunaajiri na awamu hii tunamwajiri Nusu Chuma, Nusu Mtu. TUNDU LISU. @niyeye2020.
 
”Liko baa nililoliona chini ya jua, nalo ni kama kosa litokalo kwake yeye atawalaye;

ya kuwa upumbavu huwekwa mahali pa juu sana, nao wakwasi hukaa mahali pa chini.”
 
CCM kinakufa natural Death sasa hivi ni mnawatesa Polisi tu na Wanajeshi

Kumwaga Majeshi ya kulinda mipaka kwenye Mitaa yetu lengo lenu ni nini? au mnafikiri kututisha sisi Wananchi tutatishika?

Warudisheni vijana makambini kisha tubaki kwenye Box la Kura
Tushindane kwa Kura na Sera sio kwa Majeshi na Vifaru
 
Nawe umesahau Maguu alilia hadharani tena kwa uchungu mkubwa sana akimtaka Sugu amsugue
Afadhali huyu anaetaka asuguliwe kwenye bozi ya kura, kuliko ambae hana marinda, ni swali la kuuliza alipeleka wap hayo marinda
 
Masaa machache yajayo ataenda kuchunga ngamia wake chattle!!

Sisi Watanzania ndio tunaajiri na awamu hii tunamwajiri Nusu Chuma, Nusu Mtu. TUNDU LISU. @niyeye2020.

ofisi ya kuajiri mnayo sasa? mm nachojua kuna kinyumba pale ufipa ukiangalia kwa mbali inaonekana kama guest house! kuna dem mmoja anaitwa victoria sjui something like that , yaani mpaka huyu kaikana ccm basi mna hali mbaya, na kutoa kote taaarifa za chadema kila asubui na jioni lakini mwishowe kakata tamaa na lissu, mmebaki tu nyie mnaokomaa na guest yenu

- Tindo nae ingawa anakimbizia chadema ila naona nae ameanza kutoa maneno ya kiutu uzima kabisa, naona na yeye anajua chadema ina mwenendo mbaya! ni swala la mda tu
 
afadhali huyu anaetaka asuguliwe kwenye bozi ya kura, kuliko ambae hana marinda, ni swali la kuuliza alipeleka wap hayo marinda
Mwanaume analilia hadharani tena kwa uchungu mkubwa sana kutaka kusuguliwa na dume lenzake na wewe unaona sawa tu kweli chama chetu ccm kina laana.
 
Mwanaume analilia hadharani tena kwa uchungu mkubwa sana kutaka kusuguliwa na dume lenzake na wewe unaona sawa tu kweli chama chetu ccm kina laana.

kusuguliwa kuna maaana nyingi dogo, kwan huezi kusuguliwa miguu? vp yule ambae tayar ameshakosa marinda na anataka kuchukua marinda za wengine
 
Mungu ibariki chadema

Mungu ibariki Tanzania

Mungu mbariki Tundu Lisu

Kikwete katukumbusha
Screenshot_20201026-071802.jpg
 
Back
Top Bottom