Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ametoa pole kwa wafiwa akiwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es salaam, baada ya kuahirishwa kwa kesi yake ya uhaini hadi kesho, Septemba 8, 2026, ambapo itaendelea kwa hatua ya ushahidi.
Hata hivyo, Lissu hakueleza pole hizo zilikuwa zikielekezwa kwa nani, isipokuwa alisikika akisema: “Pelekeni pole zangu kwa wafiwa.”
Lissu anakabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama hiyo, ambayo kwa sasa ipo katika hatua ya ushahidi wa nne.