The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Tunaendelea kupata simulizi za kusisimua toka kwa Tundu Lissu ikiwa ni sehemu ya kumbuizi ya miaka 4 tangu kufanyika kwa jaribio baya lililoshindwa la kutaka kumuua kwa risasi za kivita lakini likimwacha nusu mfu tarehe 7/9/2017....
Shukrani kwa madaktari wa hospitali ya mkoa wa Dodoma waliompatia huduma ya kwanza na wale wa Nairobi Hospital - kule Nairobi Kenya waliookoa uhai wake na leo ni mzima wa afya lakini akiwa na ulemavu...
Shukrani za kipekee kwa madaktari wa nchini Ubelgiji ambao wameendelea kukarabati mifupa ya nyonga na miguu yake iliyovunjwa vunjwa vibaya kwa risasi ingalau kujaribu kurudisha shape yake ya kawaida....
Endelea kumsikiliza anapojibu maswali ya watu mbalimbali. Pamoja na mengine, amejibu swali la iwapo familia yake iliwapo kupokea vitisho au la...
Enjoy yourself