Tunaendelea kupata simulizi za kusisimua toka kwa Tundu Lissu ikiwa ni sehemu ya kumbuizi ya miaka 4 tangu kufanyika kwa jaribio baya lililoshindwa la kutaka kumuua kwa risasi za kivita lakini likimwacha nusu mfu tarehe 7/9/2017....
Shukrani kwa madaktari wa hospitali ya mkoa wa Dodoma waliompatia huduma ya kwanza na wale wa Nairobi Hospital - kule Nairobi Kenya waliookoa uhai wake na leo ni mzima wa afya lakini akiwa na ulemavu...
Shukrani za kipekee kwa madaktari wa nchini Ubelgiji ambao wameendelea kukarabati mifupa ya nyonga na miguu yake iliyovunjwa vunjwa vibaya kwa risasi ingalau kujaribu kurudisha shape yake ya kawaida....
Endelea kumsikiliza anapojibu maswali ya watu mbalimbali. Pamoja na mengine, amejibu swali la iwapo familia yake iliwapo kupokea vitisho au la...
Jamaa anajua kuwakera polisi huyu, na anawakera kisawasawa. Akiona IGP Sirro amekaa kwa amani siku mbili tatu, anachomoa betri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

..wasaidizi wa Lissu ambao walimchukua eneo la tukio na kumkimbiza hospitali wanastahili pongezi nyingi sana.
..nashangaa kwanini vyombo vyetu vya habari havijawatafuta na kuwahoji.
..Lissu aliwataja siku ya ufunguzi wa kampeni kuwa waliomtoa eneo la tukio na kumfikisha hospitali ni Khadija Akukweti, Amina Kanyama, na Adamu Bakari.
..Pia yupo kijana wa Chadema anaitwa Hemedi ambaye anaonekana hapo akisukuma Wheel chair ya Lissu. Huyo kijana alikaa naye akimuuguza muda mrefu sana kule Nairobi.
Tundu anatukwamisha sana kwenye jambo lake lile..... aje kila kitu kikae sehemu yake maana tulishaambiwa hakuna police wa Tanzania anaweza fanya kile kitendo akabaki salama kazini
Nguvu anazotumia kuongea angeziweka kwenye vitendo Tanzania ingeelewa
Vinginevyo kwa haya maneno yake kila kuchwao sasa anaonekana bingwa wa mipasho kama yule anayejiita Dr Kumbuka

Watu wenye matamanio ya kufanya uhalifu lazima wawachukie polisi wazuri, iko hivyo siku zote maana wanajua ni kikwazo kwao. Na huyu Lissu alifanya juhudi nyingi kujaribu kuwaprovoke polisi na watu wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama wakati wa kampeni zake 2020, lakini aliambulia patupu/olaa. Walienda naye mdogo mdogo hadi dakika za majeruhi wakampitia na ule mtama unakufanya uangukie kisogo au kidefu. Mengine ni historia.