Tundu Lissu: Polisi wote huni - treat with respect kila walipotumwa kunikamata isipokuwa baadhi kama afande Cammilius Wambura, Sirro na Kigaigai...

Lissu aendelee kuwa chomachoma mdogomdogo hadi hawa dhalimu waishe wote.
Na wanakwendraa,mmoja baada ya mwingine.
 
Kwani Hamza alifufuliwa ili atoe ushirikiano kwa polisi kukamilisha uchunguzi ya kuwa yeye hamza ni gaidi mfia dini?
 
basi unamsongo wa mawazo sio bure

Mwenye msongo ni wewe unayetafuta haki kwa kurusha maneno mitandaoni. Hivi mnajielewaga kweli๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Au wewe ndio yule anayejiita Dr Kumbuka ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Anajifanya mjuaji sana

yeye anataka respwct wakati hatoi respect

he is kind of a diva

Watu washachoka na maneno yasiyokua na actions. Mtu ameumizwa, watanzania wakaumia kwa jambo lake halafu hatoi ushirikiano ili mambo yawe wazi!? Ana maana gani

Siku zinavyozidi kwenda Tundu analazimisha watu wenye akili wamuwazie vitu vingine....

Na ataishia kuonekana kama huyu jamaa


๐Ÿ‘ฃ๐Ÿ‘ฃ๐Ÿ‘ฃ๐Ÿ‘ฃ๐Ÿ‘ฃ๐Ÿ‘ฃ๐Ÿ‘ฃ๐Ÿ‘ฃ
 
Kwani Hamza alifufuliwa ili atoe ushirikiano kwa polisi kukamilisha uchunguzi ya kuwa yeye hamza ni gaidi mfia dini?

Unamlinganisha muuwaji mwenye silaha aliyeuwawa na Tundu aliyevamiwa na kupigwa risasi????

Hebu kuwa serious kidogo
 
Mwenye msongo ni wewe unayetafuta haki kwa kurusha maneno mitandaoni. Hivi mnajielewaga kweli[emoji1787][emoji1787]

Au wewe ndio yule anayejiita Dr Kumbuka [emoji28][emoji28]

umepanic mkuu?
 
Kweli kabisa
 
Imekuchoma eeeeh
Pole mwayego
Ndio ukweli mchungu mnaoukwepakwepa huo hangaikeni nao[emoji419][emoji375]

Kama karma ilivyomtafuna wa chatto basi kuna siku kila kitu kitakuwa wazi ni swala la mda tu, makaburi yote yaliyofukiwa yatafukuliwa,
 
Kama karma ilivyomtafuna wa chatto basi kuna siku kila kitu kitakuwa wazi ni swala la mda tu, makaburi yote yaliyofukiwa yatafukuliwa,

Kama kifo ni karma basi unataka kutuambia huyo karma aliamua aanze na kumtafuna Maalim Seif ndio baadae aende chatto eeeeh๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„

Halafu sijui na wewe karma anakufikia lini maana na wewe utakufa tuu hauna ujanja๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

tuwe na subira tu kila kitu kitakuwa wazi hakutakuwa na JIWE litakalo salia juu ya JIWE jingine,
 
Kama wewe ni polisi kwa nini usihamasishe polisi kufanya yao kwa Mujibu was sheria na kupambana na wahalifu, Huku wanasiasa wakiachwa wakipambana kwa hoja!?
 
Maalimu Seifu alisababisha wafuasi wake wengi kupata mateso na matatizo, Ghafla akaunga juhudi apate ulaji!! Unafikiria karma itakuacha bure bure!!!
 
Police wa Tanzania ni waelewa sana ila hawa CCM ndiyo wanawavuruga kifikra.
 
Kapike uji unye akili zikurudi ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ