Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato

Jinga wewe, Burigi lilikuwa pori na wamefanya kuhamisha wanyama kutoka Serengeti kuwapeleka Chato. Unajua hatari iliyopo pale unapohamisha wanyama kutoka hifadhini kuwapepeka kwenye mapori?
 
Ameshaeleza mbona, tunajua anataka kufanya nini.
 
Hakuna jipya nikazi ya Serekali sio hisani wee mwana Apolo
 
Jinga wewe, Burigi lilikuwa pori na wamefanya kuhamisha wanyama kutoka Serengeti kuwapeleka Chato. Unajua hatari iliyopo pale unapohamisha wanyama kutoka hifadhini kuwapepeka kwenye mapori?
Pumbavu ni ww usiejua unaweza google tu burigu game reserve usome .... Nyangau ww ilianzishwa 1980 na ina ukubwa wa 2200km2.... Translocation ya wanyama ni jambo la kawaida sana hata kitulo national park hapakuwana wanyama ila leo panawanyama..... Ujui chochote kaz kushangilia tuu...
Muwe mnafanya reserch kabla hamjaongea
 
Mimi sichoshwi
 
Walizoea kusweka watu polisi wakiibua hoja nzito Kama hizi, tusubiri nabii aanze kumwaka cheche
 
Hoja kama hii hawawezi kujibu milele, nasubiria kwa amu kampeni zianze, jiwe anaishi ktk jumba la kioo asubiri kupopolewa kwa mawe
 
Anajifanya kipofu

Lissu watanzania werevu sana kila kitu kinaonekana sio kama wewe unayesema uongo tu
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Jingaaa pori tengefua ngedere na nyoka unaita hifadhi? Nakwambia tutawanyoosha
 
Flyover na bypass- Dar
Njia nane- Dar
Safari za treni Dar-Moshi
Viwanda kibao- Pwani
Daraja la Kigongo- Mwanza
Ukuta Mererani- Manyara
Meli za abiria na mizigo- Ziwa Nyasa/Victoria
Hospitali ya rufaa ya Nyerere- Musoma
Upanuzi wa bandari zote za TPA- Nchi nzima
Ujenzi wa maghala ya msosi- Mikoa yote yenye uzalishaji wa nafaka kwa wingi

Aliyofanya ni mengi kwa nchi nzima nadhani kutuaminisha kuwa Chato pekee ndo imefanyiwa makubwa ni upotoshaji ambao haumsaidii Lissu siku ya uchaguzi.
Endeleeni na ngonjera badala mseme mtatufanyia nini, siku yenyewe Jiwe atamaliza mechi dk ya 15 maboya nyie
 
HAYO UNAYAONA WEWE!
 
Kuna nini huko, kwa hiyo hayo ndio maendeleo ya Tanzania nzima au?
Ndiyo,Butiama na hata Lupaso,hakuna taa za kuongozea magali/Traffic Light.

Lakini CHATO zipo.
Mnapishana na magali yamebabe wanyama pori kupeleka chato Buligi.

Ndiyo maajabu hayo.
 
Mkuu inawezekana kweli Lissu alipata pia shida ya kichwa siku anashambuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…