G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Jinga wewe, Burigi lilikuwa pori na wamefanya kuhamisha wanyama kutoka Serengeti kuwapeleka Chato. Unajua hatari iliyopo pale unapohamisha wanyama kutoka hifadhini kuwapepeka kwenye mapori?Unaijua burigi game reserve hiyo ndo imepandishwa hadhi na kuwa burigi national park ubaya uko wapi... Nyingine mbili zipo kagera huko na nyerere national park from selous game reserve..... Kwa. Mbuga ni mpaka wazungu tuu ndo waende kuna watanzania watatembelea na ni uhifadhi pia