Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato

Nitajie wanyama waliokuwepo huko kabla ya uhamishaji
Google ilikuwepo au haikuwepo... Translocation ya wanyama ni kitu cha kawaida sana nimekupa mfano wa kitulo national park yalikuwa maua na ndege leo hii wameintroduce na wanyama wengine.... Nani aliyekuambia gemereserve hazina wanyama selous kuna tembo wangapi......
Nitajie wanyama waliokuwepo huko kabla ya uhamishaji
Sio kukutajia wanyama mkuu hata selous ni game reserve ila inawanyama mfano tembo wapo wengi sana selous..... Na burigi kulikuwa na wanyama before hiyo translocation.... Ujui kitu afu unakuwa mbishi.... Nani aliyekuambia game reserve hazina wanyama... Kitulo national park ilikuwa na ndege na maua ila wame translocate wanyama
 

Kuwa na subira kampeni bado hazijaanza, unataka aanze kunadi sera zake ili mkamuwekee pingamizi kuwa kaanza kampeni mapema?

Kwanza naona mnajichanganya mara mseme hosptal kubwa 69 mara wazir aseme hosptal kubwa 600.
 

Acheni porojo, mmeshindwa kuajiri kwa miaka 5, mmeshindwa kukomboa wafanyabiashara wadogo wadogo.
 
Katika wagombea Urais wapumbavu, Tundu Lissu anaongoza. Anatueleza kitu gani wakati kila Mtanzania anajionea mambo yanayofanyika nchi nzima ambayo ukianza kuyaorodhesha ni mengi mno, asijione yeye tu ndo mwenye macho na masikio ya kuona na kusikia mambo anayoyafanya Rais Magufuli. Kiufupi Lissu hana uwezo wa kupambana na Magufuli zaidi ya kupiga mijikelele tu kama taahira na kujifanya mjuaji wa kila kitu
 

Hayo yote mliofanya yamewasaidia nini watanzania hasa vijana, wakulima na wafanya biashara, ukiweza kuweka connection ya hayo mafanikio hewa na maisha halisi ya mtanzania, natajipiga ban jf ya maisha.
 
Umesahau haoni hiyo pesa karibia trilioni 41,aliyokopa kwa mabeberu? Huku akiaminisha watu kuwa kila pesa ni ya kodi yetu?!! Hata hao waliomtangulia hayo waliyafanya kwa kiwango chao, lakini ambalo hawakufanya kabisa ni kujenga uwanja wa ndege kijijini kwao!! Mbona liko wazi? Sasa unateseka wapi?
 
Ndiyo,Butiama na hata Lupaso,hakuna taa za kuongozea magali/Traffic Light.

Lakini CHATO zipo.
Mnapishana na magali yamebabe wanyama pori kupeleka chato Buligi.

Ndiyo maajabu hayo.
akipewa miatano tena Chato itakuwa ulaya
 
Huyu mzee anaipenda sana chato kwa baba yake wa kambo kuliko anavyopapenda kwao sijui kwa nini bwana
 
Hayo yote mliofanya yamewasaidia nini watanzania hasa vijana, wakulima na wafanya biashara, ukiweza kuweka connection ya hayo mafanikio hewa na maisha halisi ya mtanzania, natajipiga ban jf ya maisha.
vipaumbele vyake sio vipaumbele vyetu zaidi ya kutafutia sifa yeye,muhimu kwake ni vitu na si watu
 
yaani huyu ndio maana alipigwa shaba.

havumiliki kabisa.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi ukafanya kampeni kwa shughuli za kijamii kama shule, hospitali, maji, umeme, barabara nk. Serikali yoyote hata wasiposema kwenye kampeni zao lazima ifanye. Miaka yote wagombea wa ubunge na urais wanatoa ahadi hizo hizo tu. Imagine mpaka sasa bado tuna matatizo ya vyoo mashuleni na hata katika familia za jamii zetu fulani.

Tunatakiwa tujiulize kwa nini kwa miaka 59 ya uhuru bado hatuna shule za kutosha, vituo vya afya karibu na wananchi, maji safi, umeme nk. Watanzania tuna tatizo gani?
 
alibana matumizi then akazitumia kununulia wapinzani,kurudia chaguzi,kumshughulikia mbowe na kuulia upinzani,huku akijafanya mzalendo mbele ya camera hali nyuma ya kamera ni mzalendo feki.Watz watakuja kumuelewa huyu sio mzalendo wakiwa wamechelewa kabisa.Mzalendo huwa aanzi na kwao au yeye kushiba kwanza kabla ya wengine
 
je hivo ni mahitaji ya wanachato kwamba maisha yao ni magumu sababu avikuwepoo hivo vitu kabla.Pamoja na vyote hivo mbona je bado akubaliki kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…