Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli asitufanye wote wajinga, jipya ni kujenga uwanja na mbuga Chato

haoni reli? haoni madini? haioni dodoma? haoni ndege? haoni vituo vya afya? haoni meli? haoni elimu bite, haioni ubungo? haoni majizi kushughulikiwa? haoni makusanyo yakodi kuongezeka? haoni ccm safi? Nk. Nk. Haoni?

akatafute shughuli nyingine ya kufanya, akaombe hko ulaya ama ajiajiri mahali
Hivyi vyote si vilikuwepo toka zamani, ni kweli amesaidia kuboresha na ni wa wajibu wa kila Serikali iliyopo madarakani.
 
Lisu ni Mpinzani Mzuri,lkn nafikiri anatakiwa asipanik,Aje na hoja nzito za namna gani ataweza kulikombokoa Taifa,Hoja hz ni Kama Ana chuki binafsi na mtu kitu ambacho c kizuri.Magufuli kajenga chato lkn Hata Maendeleo mikoa mingine tunayaona jmn.
 
seedfarm,

Tundu lisu haijelew na hatopata urais anatakiwa awe na hoja utatusaidia vip kuondokana na umaskin na changamoto zenu lakin inakua kama amepaniki na ana chuki ns uadui wa personal na magu maana analalama tu kila siku magu hiv magu vilee ukisema hajafanya kitu si sahihi hutakiw kua muongo kwamfano nidhamu kazin na matumiz mazur ya pesa za uma sasa kila kitu unapinga pinga tu kama punguani
Lisu punguani?

Haya wewe kunguni timamu ni nani na umeifanyia nchi hii kitu gani?

Huna hata hoja za kumtetea huyu Pombe wako mpaka utukane?

Jibu hoja,JPM kafanya nini cha maana?
 
haoni reli? haoni madini? haioni dodoma? haoni ndege? haoni vituo vya afya? haoni meli? haoni elimu bite, haioni ubungo? haoni majizi kushughulikiwa? haoni makusanyo yakodi kuongezeka? haoni ccm safi? Nk. Nk. Haoni?

akatafute shughuli nyingine ya kufanya, akaombe hko ulaya ama ajiajiri mahali
Ataonaje mkuu alikuwa Belgium akiuza sura, Huku nchi inasonga. Wakati anatoka KIA sijui alipita barabara gani mana hata fly over ya hakupita. Wapinzani wa bongo hawana tofauti na mtu mwenye gubu maneno tu.
 
Kosa kingine kwa Tundu lissu
Lissu hatakiwi kumshambulia Magufuli
Lissu anatakiwa atuambie atafanya Nini,kukomaa na Magufuli ni sawa na kuzidi kujipunguzia kura tu
Hivi kujenga hospital kubwa 69 sio maajabu
Kukarabati shule za sekondari ambazo haziguswa toka mkoloni si maajabu
Chadema mjipange sana na lissu wenu mtajikuta mmeishiwa maneno baada ya wiki moja tu toka kuanza kampeni
Hawana hayo maneno hata sasa ndo sababu anaongea upuuzi tu. Siasa za hovyo tu, eti hakuna kitu.
 
LISSU GONGEA MSUMARI KWENYE POINTS HIZO HIZO.. MFANO UNAWEZA KUSEMA “JAMANI WALIMU, HUYU MTU HAWAONGEZEI MISHAHARA, ILA ANAENDA KUJENGA UWANJA WA NDEGE CHATO, KWELI SAWA HII?!” SEMA NA KUNDI FULANI LILILODHULUMIWA KWA KURELATE NA MAMBO YA KIBINAFSI ALIYOYAFANYA HUYU BWANA.. ANGEACHA UBINAFSI SEHEMU FULANI, AKASAIDIA WAHITAJI FULANI.. hapo utakuwa unazidi kututeka wananchi wako.
 
seedfarm,

Tundu lisu haijelew na hatopata urais anatakiwa awe na hoja utatusaidia vip kuondokana na umaskin na changamoto zenu lakin inakua kama amepaniki na ana chuki ns uadui wa personal na magu maana analalama tu kila siku magu hiv magu vilee ukisema hajafanya kitu si sahihi hutakiw kua muongo kwamfano nidhamu kazin na matumiz mazur ya pesa za uma sasa kila kitu unapinga pinga tu kama punguani
Small mind you cretin. Huwezi kumponda shetani bila kumsifia Mungu.

Magufuli kama rais muandamizi hawezi anakwepa mashambulizi na kinachomponza zaidi ni kuwa kwa miaka hii mitano amekuwa akipewa sifa feki kinafiki.

Sasa amepata wanaomchambua na asifanye chochote, sasa hivi yeye ndio the subject na hawezi kulikwepa hilo, atachomwa mikuki mwili mzima.
 
seedfarm,

Tundu lisu haijelew na hatopata urais anatakiwa awe na hoja utatusaidia vip kuondokana na umaskin na changamoto zenu lakin inakua kama amepaniki na ana chuki ns uadui wa personal na magu maana analalama tu kila siku magu hiv magu vilee ukisema hajafanya kitu si sahihi hutakiw kua muongo kwamfano nidhamu kazin na matumiz mazur ya pesa za uma sasa kila kitu unapinga pinga tu kama punguani
Tulia kampeni zianze mbona povu jingi
 
hamjui mkitakacho! Hamjitambui! Kuna rais mlimtusi Kama JK??
Wewe ndo hujui unazungumza nini! Sasa Magufuli unaweza mlinganisha na JK?
Tulimtaka bora kuliko JK sio hiki kituko tuko nacho, kuongea hajui, mjuaji, mbinafsi, mpenda misifa, mtu wa visasi, fisadi, asiye heshimu mawazo, hadhi na professional za watu, wa nini huyu??

Kumtusi JK si kwa sababu hatukumpenda, tulitaka afanye zaidi ya alivyofanya na kiukweli alijaribu kwa kiwango chake.
 
haoni reli? haoni madini? haioni dodoma? haoni ndege? haoni vituo vya afya? haoni meli? haoni elimu bite, haioni ubungo? haoni majizi kushughulikiwa? haoni makusanyo yakodi kuongezeka? haoni ccm safi? Nk. Nk. Haoni?

akatafute shughuli nyingine ya kufanya, akaombe hko ulaya ama ajiajiri mahali
Jizi gani limeshughulikiwa? Rostam mnaye ccm, Chenge mnaye tena mwenyekiti wa Bunge. Acheni kutufanya sisi wote wajinga!
 
Jizi gani limeshughulikiwa? Rostam mnaye ccm, Chenge mnaye tena mwenyekiti wa Bunge. Acheni kutufanya sisi wote wajinga!
unavyoaminishwa nchi ilikuwa na majizi wawili eeh... Chenge akihamia chadema mtamtosa Lissu nakumpa yeye ugombea uraising!!! VP safari hii hamzungushi mikono au mtazungusha miguu? hata mzungushe kiuno hampati kitu
 
unavyoaminishwa nchi ilikuwa na majizi wawili eeh... Chenge akihamia chadema mtamtosa Lissu nakumpa yeye ugombeaSafari hii hamzungushi mikono
Majizi yote ni ccm akiwemo yule mhonga nyumba za serikali kwa vimada. Shame on you
 
Lisu ni Mpinzani Mzuri,lkn nafikiri anatakiwa asipanik,Aje na hoja nzito za namna gani ataweza kulikombokoa Taifa,Hoja hz ni Kama Ana chuki binafsi na mtu kitu ambacho c kizuri.Magufuli kajenga chato lkn Hata Maendeleo mikoa mingine tunayaona jmn.
Kwenu umeona nini?
 
Wewe ndo hujui unazungumza nini! Sasa Magufuli unaweza mlinganisha na JK?
Tulimtaka bora kuliko JK sio hiki kituko tuko nacho, kuongea hajui, mjuaji, mbinafsi, mpenda misifa, mtu wa visasi, fisadi, asiye heshimu mawazo, hadhi na professional za watu, wa nini huyu??

Kumtusi JK si kwa sababu hatumpenda, tulitaka afanye zaidi ya alivyofanya na kiukweli alijaribu kwa kiwango chake.
chadema nichama cha wajinga wengi walioshindwa shule Sasa akili yakuongoza nchi mtatoa wapi
 
Ujinga ni kuwaaminisha watu ujinga. Hakuna asiyejua kuwa lililokuwa pori laBurigi lilificha majambazi na wavamizi wa magari wengi wao wakiwa ni raia wa nchi jirani (rejea waraka wa mchungaji Mtikila RIP).

kuilinda Burigi Serikali iliamua kwa makusudi kulipandisha hadhi pori hilo kuwa hifadhi kamili ya kimkkati ukanda ule.
Kuhusu majenzi ya miundombinu ukanda ule ni kuwa ulisahaulika.
 
Ati huyu.. anataka kuongoza nchi hii!!!.. mipasho mipasho ipo kwa damu yake. Yeye anataka kuongoza.. ili akae Ikulu.. kupiga mipasho kwa Mh. Magufuli.. anaonyesha ana wivu sana na mafanikio ya Magufuli.. wivu mubaya sana.. nyie munao mushangilia humu.. ni basi tu hamuwezi badili gia angani.. humu ila rohoni kura kwa Magufuli.. tumewazoea.. 2010.. 2015.. 😃😃😃 si mukubali kwamba anawatia aibu.. nyie wafuasi wapenda maisha ya mukato.. aliyoziba Rais wenu mpendwa JPM.. yaani hana hata sera.. akiwongea ni upupwu tu anashusha.. BTW akimaliza mazoezi tarehe 27 Okitoba 2020.. atakwenda shangilia kumaliza ndoto ya kupiga michapo.. tumbo tu mbele.. tamaa ya kupenda kutawaliwa na mabeberu.

Magufuli 2020💯
Poleni safari hii jua limepatwa, mbona mnashiida
 
Back
Top Bottom