Gamaha
JF-Expert Member
- Jul 17, 2008
- 3,915
- 5,038
Hivyi vyote si vilikuwepo toka zamani, ni kweli amesaidia kuboresha na ni wa wajibu wa kila Serikali iliyopo madarakani.haoni reli? haoni madini? haioni dodoma? haoni ndege? haoni vituo vya afya? haoni meli? haoni elimu bite, haioni ubungo? haoni majizi kushughulikiwa? haoni makusanyo yakodi kuongezeka? haoni ccm safi? Nk. Nk. Haoni?
akatafute shughuli nyingine ya kufanya, akaombe hko ulaya ama ajiajiri mahali