Tundu Lissu: Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa shahidi wangu apelekewe barua ya wito

Tundu Lissu: Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa shahidi wangu apelekewe barua ya wito

Kile alichoandika Hilda jana kimethibitika ni kweli
Tena kama kuna mawakili wasomi wa kukusanya taarifa za kumsaidia mwamba humu jukwaani, wasisahau kuuchukua ule ushahidi wa mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz aliousema hadharani mwaka 2023 kuhusu mahakama za Tanzania! Na wenyewe unaweza kusaidia kwenye mwenendo mzima wa kesi.
 
Duu mbona kama Upande wa jamahuri mawakili wanahitaji kuizungusha sana hii kesi, na ukiangalia kwa mazingira ya mashahidi kesi haipo,why useme mashahidi hawaweezi kupelekewa taarifa??
 
Back
Top Bottom