RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 963
- 1,927
Kama ni kweli, Rais Magufuli hatakubali Tume huru ya uchaguzi iundwe kabla ya uchaguzi mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnataka kuiharibu Jumamosi ya Meko naonaView attachment 1311781
Kama ni kweli, Rais Magufuli hatakubali Tume huru ya uchaguzi iundwe kabla ya uchaguzi mkuu!
Wajuze mkuu kwani nchi ikoje!?Hawajui hawa hii nchi ikoje, asahau kushinda urais, bado ngoma nzito
Yaani Mh JPM atashinda kweupe kabisa CHADEMA si wakupewa nchi hata kwa sekunde 3 tu.View attachment 1311781
Kama ni kweli, Rais Magufuli hatakubali Tume huru ya uchaguzi iundwe kabla ya uchaguzi mkuu!
Kuna wakuandamana nchi hii? Ugali ulivyo mtamu swahibaSasa ole wake Meko atangaze matokeo ya uongo Lissu haogopi kuagiza watu waandamane.
Sasa ole wake Meko atangaze matokeo ya uongo Lissu haogopi kuagiza watu waandamane.
Akili za JPM zitamtuma amzuie asigombee kwasababu JPM ni political armature...litakalo mcost ndo hiloView attachment 1311781
Kama ni kweli, Rais Magufuli hatakubali Tume huru ya uchaguzi iundwe kabla ya uchaguzi mkuu!
Tume huru haziletwi zinapiganiwa .View attachment 1311781
Kama ni kweli, Rais Magufuli hatakubali Tume huru ya uchaguzi iundwe kabla ya
uchaguzi mkuu!