Uchaguzi 2020 Tundu Lissu rasmi kupambana na Rais Magufuli

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu rasmi kupambana na Rais Magufuli

We usiniambie lazima nikeshe usiku huu
tapatalk_1541138293084.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema walitamka wazi 'tusipoitoa madarakani CCM kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, basi itakuwa ndoto kuja kuitoa'. Kwa hiyo kushinda uchaguzi mkuu 2020 ni ndoto ya mchana. Waache waendelee kunogesha kijiwe.
 
Eti tume huru! Kwani tume ndo inapiga kura? Nyie hazimo kabisa! Huyo mhanga utampambanisha na JPM? Hizo hela za kampeni CHADEMA kajengee ofisi
2020 mliona kama vile ni mbali sana eeh?? Sasa zimefika TL ana ulinzi wote 100% kutoka kwa mabeberu wanaopenda haki Akirogwa tu akamgusa basi hesabu mwisho wa JPM kuninginia kwenye kamba
 
Kupambana kwenye nini, urais wa tanzania au wa nchi za nje
 
Watu wengi tulidhani Magufuli angekuwa rais bora, kutokana na uchapa kazi na misimamo yake. Sasa hivi nimejifunza, watu wenye misimamo mikali hawafai kuwa ma Rais, ni watu wenye viburi, kujiamini kuliko pitiliza na wasio penda kusikiliza watu wengine. Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli, tabia zao zinafanana sana. Tindu Lisu hafai kuwa Rais.
Kabisa.
Umeona like yangu huko?
Bora wamoe mama samia kuliki huyo lisu na magu
 
Ndoto za mchana. Wahenga wanasema kama mrema alishindwa hawadhani kama itawezekana tena


Sent from my iPhone using JamiiForums
Itawezekana lakini sidhani kama atakuwa Lissu, uwezekano mdogo sana 0.00000112% kwa Lissu kumshinda Magufuli.
Kwanza siamini kama atarudi kuja kugombea kipindi hiki cha Magufuli, labda agombee akiwa ughaibuni akishinda ndipo arudi kuongoza nchi.
 
Huwa mnafarijiana tu ila hali ilivyo hata kule kuota tu kuwa Lisu kashinda ni dalili za ukichaa.

Huwa hata sielewi mnaishi Tanzania ipi hiyo ya kufikirika!!

Wenyewe wanataka majimbo yote yarudi nyie mnaota urais?
 
Kwa nguvu ya policcm atashinda maana 2015 hakushinda ndio maana katutawala kama mbogo anaujua ukweli bila Lubuva, Tiss asahau kushinda
Hayo ndio maneno yenu yaani nyie ni kama mfa maji haachi kutapa tapa sasa si mngeenda mahakani kushaki ai ushind wenu ni wa kwenye mitandao huku
 
Back
Top Bottom