Uchaguzi 2020 Tundu Lissu rasmi kupambana na Rais Magufuli

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu rasmi kupambana na Rais Magufuli

Huwa mnafarijiana tu ila hali ilivyo hata kule kuota tu kuwa Lisu kashinda ni dalili za ukichaa.

Huwa hata sielewi mnaishi Tanzania ipi hiyo ya kufikirika!!

Wenyewe wanataka majimbo yote yarudi nyie mnaota urais?
Tatizo wanadhani kushida uchaguzi ni sawa na kushinda kijiweni
 
Ni wapi hilo gazeti limeandika lisu atagombea..?
Kuwekwa picha yake kunahalalisha vipi kuwa atagombea..?
 
#LISSURAIS2020
Huyo mungu wa MaCCM wanaemuabu na kumsujudia, wamfungie lumumba wamsujudie milele
 
Hayo ndio maneno yenu yaani nyie ni kama mfa maji haachi kutapa tapa sasa si mngeenda mahakani kushaki ai ushind wenu ni wa kwenye mitandao huku
Hahahaaa urais wa kupora umemtesa sana Jpm kuliko raie mwingine yeyote tangu kupata uhuru
 
CCM WAMTEUE MEMBE APAMBANE NA LISSU!!KWA JIWE NA LISU,Jiwe hachomoki hatopata kura kabsa!lisu atapata za huruma!!ili wabalansi membe apewe kijiti apambane na lisu!!!NEC MTEUENI MEMBE!!!
 
Watu wengi tulidhani Magufuli angekuwa rais bora, kutokana na uchapa kazi na misimamo yake. Sasa hivi nimejifunza, watu wenye misimamo mikali hawafai kuwa ma Rais, ni watu wenye viburi, kujiamini kuliko pitiliza na wasio penda kusikiliza watu wengine. Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli, tabia zao zinafanana sana. Tindu Lisu hafai kuwa Rais.
Sawa, lakini hujataja unayemwona ana sifa hizo unazotaka wewe!

Tuwekee hapa wasifu wako kama wewe unazo hizo sifa ili tuanze kukutafutia wafuasi.
 
Itawezekana lakini sidhani kama atakuwa Lissu, uwezekano mdogo sana 0.00000112% kwa Lissu kumshinda Magufuli.
Kwanza siamini kama atarudi kuja kugombea kipindi hiki cha Magufuli, labda agombee akiwa ughaibuni akishinda ndipo arudi kuongoza nchi.
Anakuja ndiyo maana Chadema wameanza kumtambulisha kwa Wananchi.
 
Itawezekana lakini sidhani kama atakuwa Lissu, uwezekano mdogo sana 0.00000112% kwa Lissu kumshinda Magufuli.
Kwanza siamini kama atarudi kuja kugombea kipindi hiki cha Magufuli, labda agombee akiwa ughaibuni akishinda ndipo arudi kuongoza nchi.
Huwa mnafarijiana tu ila hali ilivyo hata kule kuota tu kuwa Lisu kashinda ni dalili za ukichaa.

Huwa hata sielewi mnaishi Tanzania ipi hiyo ya kufikirika!!

Wenyewe wanataka majimbo yote yarudi nyie mnaota urais?
Ila ujue Lissu ndiyo mgombea urais kupitia Chadema.
 
Back
Top Bottom