Uchaguzi 2020 Tundu Lissu rasmi kupambana na Rais Magufuli

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu rasmi kupambana na Rais Magufuli

Haya majinga dawa yao ni kuyapa makavu tu. Hiyo takataka yenu lisu kilichobaki ni kumfanyia maombi tuu ili alee wajukuu home lakini hakuna kazi anayoweza tena labda kumburudisha mkewe. Muwe na huruma jamani kuongoza nchi sio kulea mke.
 
hivi mkuu,mheshimiwa Lisu tofauti na masuala ya kisheria ambayo sina shaka anayajua hasa,ushawahi kumsikia akiongea jambo lolote kuhusiana na uchumi na maendeleo kwa ujumla?
Swali zuri sana!
Uelewe kuwa, kuwa rais haina maana kuwa wewe unaufahamu wa mambo yote! Wataalamu wa mambo ya uchumi wapo, kazi ni namna ambavyo rais antambua na kuheshimu taaluma za watu alio nao na kujua na ya kuzitumia!
Rais anauwezo wa kuteua mtaalamu yoyote kutoka kokote duaniani ili awe mshauri wake katika uchumi, siasa, kijamii nk. Kazi ya rais ni kuweka maono (vision) ya taifa na kuisimamia!
 
Haya majinga dawa yao ni kuyapa makavu tu. Hiyo takataka yenu lisu kilichobaki ni kumfanyia maombi tuu ili alee wajukuu home lakini hakuna kazi anayoweza tena labda kumburudisha mkewe. Muwe na huruma jamani kuongoza nchi sio kulea mke.
[/QUOT
Basi ufurahi kuwa takataka anapambana na Jiwe. Kwa hiyo ushindi mtakao pata ni kama kupita bila kupimgwa!
 
Lissu hata akishinda ni ngumu kupewa nchi sababu anaonekana kuwa mtu wa visasi - sasa kwa vyovyote vile ama CCM au ACT (rejea DRC Fayulu, Chisekedi na X Tawala)
 
Lissu kweli ni mpinzani mzuri lakini kwa Tanzania na watanzania wake tulivyo, na tume yetu ya uchaguzi ccm hata wakiamua kutofanya kampaini watashinda tu uchaguzi ikishindikana kuiba kwenye sandaku la kura, tume ya uchaguzi itafanya itakavyokuwa imeagizwa. Na hata tume ikitokea ikakosea kufanya michezo yake kama hule wa Zanzibar wa hadi kufuta uchaguzi, kwa ccm ilivyo sasa na mabwanyenye wake basi hata kwa bunduki ilimradi tu ccm iendelea kubaki madarakani!!
 
membe anagombea chadema kama alivyofanya Lowassa. ...

Cover ya CCM kuwadhibitu upinzani
CCM wakimuweka Membe badala ya Magufuli hapo angalau CCM watapumua! Maana Magufuli tofauti na kutumia mabavu, hana njia nyingine.
Kwa hiyo ni juu ya CCM kujiongeza! Tatizo mapambio ya kusifu na kuabudu Jiwe yamewakolea, hawaoni wala hawasikii!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom