Uchaguzi 2020 Tundu Lissu rasmi kupambana na Rais Magufuli

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu rasmi kupambana na Rais Magufuli

Baada ya hekaheka la Slaa, Lowassa,Zito nilikuja kugundua Tanzania hamna tofauti ya chama pinzani wala tawala tofauti ni kuwa mmoja ana madaraka mwingine hana. Bora Magu abaki ingawa hali ni ngumu
 
Baada ya hekaheka la Slaa, Lowassa,Zito nilikuja kugundua Tanzania hamna tofauti ya chama pinzani wala tawala tofauti ni kuwa mmoja ana madaraka mwingine hana. Bora Magu abaki ingawa hali ni ngumu
Tumpe Lissu naye tuone, mambo yanaweza kuwa angalau ahueni! Usikate tamaa watu wanatofautiana!
 
Tumpe Lissu naye tuone, mambo yanaweza kuwa angalau ahueni! Usikate tamaa watu wanatofautiana!
Huyo Lisu ni walewale! Moto alionao Lisu ndio alikua nao Slaa sasa hivi Slaa yuko wapi? Vyama vya upinzani vilikuwa vinategemewa sana lkn mwishowe wakaanza kujiangusha wenyewe.
 
Huyo Lisu ni walewale! Moto alionao Lisu ndio alikua nao Slaa sasa hivi Slaa yuko wapi? Vyama vya upinzani vilikuwa vinategemewa sana lkn mwishowe wakaanza kujiangusha wenyewe.
Na wewe ni walewale tu! Yaani sisi ni binadamu wenye asili zilezile. Tofauti ni kuwa ufahamu unaoletwa na elimu, mazingira na uzoefu huwafanya binadamu kuziacha tabia mbaya za asili, ubinfsi na uchoyo na kuwa watu bora kufikia hata viongozi wazuri!
Lakini tutawajuaje!? Maneno na matendo yao kabla hawajakamata madaraka ndiyo kipimo tulicho nacho kwa sasa!
Wakipewa mamlaka ndiyo tunaweza kuwafahamu zaidi, mfano Rais wetu kipenzi, sasa kila mtu anajua Magufuli wa kabla na baada ya kupata urais, nani wa halisi!?
Kwa hiyo si vibaya kumpa TL urais huenda akawa bora. Akiwa nayeye ni walewale, tunabadilisha tunaweka mwingine!
 
Sasa kuchukua form na kuirudisha kuna tatizo? Lissu atarudisha form atalindwa na FBI 24/7 with High Tech surveillance,Full loaded,Bullet proof car na clothes,Arms Detectors etc
Ndio akili yako ilipoishia hapo
Unadhani FBI wanachukuliwa kama kampuni ya ulinzi ya Goha Security?
 
C mpaka agombee kwani amepitishwa? Umemsahau Membe kuwa yupo?
Huyo membe wenu atakuwa rais wa familia yako si rais wa tanzania hii , Tutakuwa na Magufuli mpaka atajapo ona sasa nchi imekaa pazuri
 
Tumpe Lissu naye tuone, mambo yanaweza kuwa angalau ahueni! Usikate tamaa watu wanatofautiana!
hivi mkuu,mheshimiwa Lisu tofauti na masuala ya kisheria ambayo sina shaka anayajua hasa,ushawahi kumsikia akiongea jambo lolote kuhusiana na uchumi na maendeleo kwa ujumla?
 
Najiuliza hivi Lissu akifutiwa dhamana nani atalaumiwa mahakama ama serikali? nashauri arudi amalize kesi yake awe huru kufanya siasa sababu ana waweka wadhamini wake kwenye wakati mgumu sn, Chadema jifunzeni kidogo kuwa CCM inawavizia kila siku, ubunge kanyang'anywa kizembe kwa kutegemea mahakama matokeo yake hakuna kinachoendelea.
 
Huyo membe wenu atakuwa rais wa familia yako si rais wa tanzania hii , Tutakuwa na Magufuli mpaka atajapo ona sasa nchi imekaa pazuri
hata MEKO ni rais wa wewe na MUMEO na vifaranga vyako
 
Back
Top Bottom