Samawia
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 592
- 462
CCM kama kweli mnajiamini ,Kama kweli mnapendwa,Kama kweli hambebwi na tume yenu hii ,ruhusuni tume huru
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumpe Lissu naye tuone, mambo yanaweza kuwa angalau ahueni! Usikate tamaa watu wanatofautiana!Baada ya hekaheka la Slaa, Lowassa,Zito nilikuja kugundua Tanzania hamna tofauti ya chama pinzani wala tawala tofauti ni kuwa mmoja ana madaraka mwingine hana. Bora Magu abaki ingawa hali ni ngumu
Huyo Lisu ni walewale! Moto alionao Lisu ndio alikua nao Slaa sasa hivi Slaa yuko wapi? Vyama vya upinzani vilikuwa vinategemewa sana lkn mwishowe wakaanza kujiangusha wenyewe.Tumpe Lissu naye tuone, mambo yanaweza kuwa angalau ahueni! Usikate tamaa watu wanatofautiana!
Na wewe ni walewale tu! Yaani sisi ni binadamu wenye asili zilezile. Tofauti ni kuwa ufahamu unaoletwa na elimu, mazingira na uzoefu huwafanya binadamu kuziacha tabia mbaya za asili, ubinfsi na uchoyo na kuwa watu bora kufikia hata viongozi wazuri!Huyo Lisu ni walewale! Moto alionao Lisu ndio alikua nao Slaa sasa hivi Slaa yuko wapi? Vyama vya upinzani vilikuwa vinategemewa sana lkn mwishowe wakaanza kujiangusha wenyewe.
Aje tu kama mwanaume kweliWewe ndiyo utamuzuia kuja nchini!? Au unakesha ukiomba asije ili Magufuli apunguze presha za kushindwa uchaguzi mkuu! Maana inaonyesha mpaka wafuasi wake hofu imewazidia!
Ndio akili yako ilipoishia hapoSasa kuchukua form na kuirudisha kuna tatizo? Lissu atarudisha form atalindwa na FBI 24/7 with High Tech surveillance,Full loaded,Bullet proof car na clothes,Arms Detectors etc
Lakini kichaa anatawalaTanzania haitoweza kutawaliwa na Rais mwehu
C mpaka agombee kwani amepitishwa? Umemsahau Membe kuwa yupo?Yaani Mh JPM atashinda kweupe kabisa CHADEMA si wakupewa nchi hata kwa sekunde 3 tu.
Basi Tanzania haitoweza kutawaliwa na shoga
Kwa hiyo inamaanisha kuwa CCM wanapewa tu bila kushinda kwa kuwa CDM hawafai.....!!?Yaani Mh JPM atashinda kweupe kabisa CHADEMA si wakupewa nchi hata kwa sekunde 3 tu.
Mna akili fupi sana nyie watu! Leteni hoja siyo vioja! Hizo shombo za kutunga atakayewaamini ni mwenye ufahamu mdogo sana!Basi Tanzania haitoweza kutawaliwa na shoga
Huyo membe wenu atakuwa rais wa familia yako si rais wa tanzania hii , Tutakuwa na Magufuli mpaka atajapo ona sasa nchi imekaa pazuriC mpaka agombee kwani amepitishwa? Umemsahau Membe kuwa yupo?
hivi mkuu,mheshimiwa Lisu tofauti na masuala ya kisheria ambayo sina shaka anayajua hasa,ushawahi kumsikia akiongea jambo lolote kuhusiana na uchumi na maendeleo kwa ujumla?Tumpe Lissu naye tuone, mambo yanaweza kuwa angalau ahueni! Usikate tamaa watu wanatofautiana!
hata MEKO ni rais wa wewe na MUMEO na vifaranga vyakoHuyo membe wenu atakuwa rais wa familia yako si rais wa tanzania hii , Tutakuwa na Magufuli mpaka atajapo ona sasa nchi imekaa pazuri
View attachment 1311781
Kama ni kweli, Rais Magufuli hatakubali Tume huru ya uchaguzi iundwe kabla ya uchaguzi mkuu!
CCM wakimuweka Membe badala ya Magufuli hapo angalau CCM watapumua! Maana Magufuli tofauti na kutumia mabavu, hana njia nyingine.