Uchaguzi 2020 Tundu Lissu rasmi kupambana na Rais Magufuli

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu rasmi kupambana na Rais Magufuli

CCM WAMTEUE MEMBE APAMBANE NA LISSU!!KWA JIWE NA LISU,Jiwe hachomoki hatopata kura kabsa!lisu atapata za huruma!!ili wabalansi membe apewe kijiti apambane na lisu!!!NEC MTEUENI MEMBE!!!
Jiwe atapita kwa mbeleko ya chuma! Ndiyo maana CCM ukiwaambia tume huru, wanapagawa na kuanza kuropoka hovyo!
 
Sasa atawezaje kukagwaride mmh nauliza tu ataweza kweli kumatch mwendo na kamanda 😁😁😁
 
Sawa, lakini hujataja unayemwona ana sifa hizo unazotaka wewe!

Tuwekee hapa wasifu wako kama wewe unazo hizo sifa ili tuanze kukutafutia wafuasi.
Chadema wataangukia pua kama wata msimamisha Tundu Lissu. Kwa sababu Tundu Lisu siyo presidential material. Kwangu mimi Mbowe ndo presidential material pekee Chadema. Wengine wote bado wana mihemuko mingi
 
Chadema wataangukia pua kama wata msimamisha Tundu Lissu. Kwa sababu Tundu Lisu siyo presidential material. Kwangu mimi Mbowe ndo presidential material pekee Chadema. Wengine wote bado wana mihemuko mingi

Kumbe kuna upresident material , Ndio maana tunalalamika ccm inaibakura!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwani Chadema imeishatangaza mgombea wake? Kama bado, huyo Lissu kapitishwa nani?
Mwandishi wa gazeti Tanzania Daima ndiyo ametufikishia ujumbe! Lakini imahitaji akili kidogo kuelewa, hasa waliozoe kuabudu mawe inakuwa shida kidogo!
 
Watu wengi tulidhani Magufuli angekuwa rais bora, kutokana na uchapa kazi na misimamo yake. Sasa hivi nimejifunza, watu wenye misimamo mikali hawafai kuwa ma Rais, ni watu wenye viburi, kujiamini kuliko pitiliza na wasio penda kusikiliza watu wengine. Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli, tabia zao zinafanana sana. Tindu Lisu hafai kuwa Rais.
sifa kubwa ya kiongozi ni kuwa na uwezo wa kuwashawishi watu including wapinzani wako waamini wakione na kukiamini/kubuy in kwa kile unachokiamini.Lissu ana akili na uwezo wa kushawishi ,huyu mwingine amekosa vyote, ndo maana unaona matumizi ya vyombo vya dola na makundi mengine yasiyo halali yamekuwa makubwa maana hawezi kujenga hoja wala kukieleza kile anachokiamini kwa watu wengine
 
Hakuna kitu hapo, ila yaruhusiwa kujifariji...
 
Hakuna kitu hapo, ila yaruhusiwa kujifariji...
Hakuna kitu ila kuna mgombea urais makini kupitia Chadema ambaye Rais Magufuli huwa anashindwa kutamka jina lake kwa hofu isiyo kipimo!
 
Back
Top Bottom