Uchaguzi 2020 Tundu Lissu rasmi kupambana na Rais Magufuli

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu rasmi kupambana na Rais Magufuli

Kuna advantage kubwa Sana kwa Lissu kuwa mgombea urais
1. Watu wengi tuliokata tamaa tutaenda kupiga kura sababu ya kumwamini
2. Anauwezo wa kumpoteza ccm, maana vyombo vya nje watakuja kuangalia mengi ikiwa ni pamoja na yale ya ukiukwaji wa haki za binadamu
3. Wizi wa kura utakuwepo kwa kificho kuliko Sasa tunaibiwa waziwazi
4. Police wataipendelea ccm kwa kificho
5. Mabaya ya Magufuli yatawekwa peupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi tulidhani Magufuli angekuwa rais bora, kutokana na uchapa kazi na misimamo yake. Sasa hivi nimejifunza, watu wenye misimamo mikali hawafai kuwa ma Rais, ni watu wenye viburi, kujiamini kuliko pitiliza na wasio penda kusikiliza watu wengine. Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli, tabia zao zinafanana sana. Tindu Lisu hafai kuwa Rais.
Mwenye maamuzi ni mpiga kura. Akihesuimiwa nchi itaheshimika.
 
Acha kumfananisha Magufuli na mwehu wenu hyo
Hivi kuna tofauti gani kati ya mwehu na kichaa!? Mi naona ngoma droo, tuvute subira tuone nani zaidi kati ya kichaa na mwehu!
Tunachotaka mwamuzi aache kumbeba kichaa kwa mbeleko ya chuma kama walivyozoea!
 
Ndoto za mchana. Wahenga wanasema kama mrema alishindwa hawadhani kama itawezekana tena


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani uzi unasema Lissu atashinda!? Mbona hofu bila sababu! Relax! Mshindi ni kipenzi cha Watanzania, na nyenzo za ushindi zimo mikononi mwake!
 
Back
Top Bottom