Uchaguzi 2020 Tundu Lissu rasmi kupambana na Rais Magufuli

Watu wengi tulidhani Magufuli angekuwa rais bora, kutokana na uchapa kazi na misimamo yake. Sasa hivi nimejifunza, watu wenye misimamo mikali hawafai kuwa ma Rais, ni watu wenye viburi, kujiamini kuliko pitiliza na wasio penda kusikiliza watu wengine. Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli, tabia zao zinafanana sana. Tindu Lisu hafai kuwa Rais.
 
Zitto Kabwe aliposema Ndani ya Chadema ni Lissu peke yake ndio ana mbavu za kumkabili Magufuli alitukanwa kuwa anataka kuleta Mgawanyiko

Mie naunga mkono Lissu agombee Urais kwa kuwa Inshallah baada ya Uchaguzi hatokuwa Rais wala Mbunge

Huenda Chadema wanacheza ngoma ya Zitto bila ya kujijua
 
Ndoto za mchana. Wahenga wanasema kama Mrema alishindwa hawadhani kama itawezekana tena


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…